Wakati mwingine muache matumizi mabaya ya neno "Shukuru MUNGU",Shukuru Mungu kakuepushia balaa hilo ni heli uchumba uvunjike kuliko ndoa yenye mateso kubaliana tu na hali mwache aende atashtuka kumeshakucha tafuta mkali zaidi yake
Wanawake hawaaminik,dawa ni kuwatungua(kuwamimba),il kumpunguzia uthaman kama unajua kabisa unamhitaji kwa dhatWakuu sina mengi ya kusema hakika inauma sana ,maumivu yake moyoni hayaelezeki .
Siwezi kuelezea ..amesema amepata mwanaume mwingine zaidi yangu
Nimemuuliza tatizo nini anasema hakuna tatzo.
Nimetoka nae mbali sana almost 5yrs ya mahusiano, Naona kama ndoto hakuna baya nililomfanyia
Wanawake kwanini mnakuwa hivi au tamaa
Kabisaa mkuuu ..kuna jamaa angu maisha yake ni safi sana yaan sana ,,sasa jamaaa alipofiwa namkewe ,, siakata kuoa mwanamke mwingine...basi akakapata kadada ivi kapo 28 nayeye yupo 43 ,, sasa mambo yakawa sawa jamaa ukweni Akaanza kujenga nyumba hahahahahah....demu siku moja anamwambia jamaaa ,,nmegair kuolewa naww ,,we umenizidi sana umri .....Wewe ni mtu mwenye bahati sana.wanawake wengine wameingia ktk ndoa na watu wasio chaguo Lao.wanawatesa hao wanaume hatari . Wanagegedwa na machaguo Yao huku wakubwa ktk hizo ndoa.hivyo endelea na maisha yako ukimuoa huyo wewe ndio utakuwa njia kuu mchepuko.mahukuru mungu umeokoka na Hilo.zaidi ya 50% ya wanaume walio ktk ndoa sasa hivi ni njia kuu mchepuko.yaani sio chaguo la wake zao.Hongera sana,Mungu anakupenda sana na amekuandalia mwanamke atakaekuchagua.
Wema? Unaujua wema? Kwanini huo wema asiufanye bado mwaka mmoja ama miaka 2 au hata mwanzoni tu kwamba hamtaki...unasubiri miezi to marriage nd unamwambia ..kwamba aibu yote anaibeba yeye?Amekufanyia wema kukwambia ukweli!, kubali na songa mbele utampata akupendaye..
kuna wanawake wana jielewa hela haijawahi kuwa kipaumbele kwao. wengi wapenda hela ni wale washamba, malimbukeni usiwajumuishe woteHivi kumbe wanaume mnaumizwaga eh? na mnaumia! haya muache aende haikua riziki.Sina la kukwambia tafuta hela tena hela haswaa wanawake wanapenda pesa mno kuliko utu.