Ushauri: Alinivumilia wakati sina kazi lakini tukaacha nilipokaribia kupata kazi, nimepata mwingine sasa haachi kunisumbua turudiane

Muxt

Member
Jun 25, 2022
38
45
Guys ninaomba ushauri,

Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi.

Wakati huo yeye alikuwa na kazi anauza duka la cosmetics la mtu. Nilikuwa sina hela mwanamke alinivumilia sana ingawa hela yake kuipata ilikuwa ngumu.

Miezi miwili kabla ya mimi kupata kazi tukaachana sijui alichoka kuvumilia au vipi. Mimi nikapata kazi siku jina langu limetoka tu nikamtafuta maana bado nilikuwa na feelings naye nikamwambia anisaidie hela ili niende huko Bukoba kwenye kituo cha kazi, akaniambia hana hela maana hela zote alizokuwa anatunza amenunua kiwanja kwao.

Tangu pale aliniisha hamu nikaona kumbe mwenzangu alishamove on. Mimi nikaja zangu Bukoba nikapatana na kadada kengine nipo naye lakin yule mwanamke wangu wa mwanzo haachi kunisumbua muda wote anataka turudiane.

Kwakwel ananipasua kichwa maana nakosa cha kufanya ananilalamikia sana kwahiyo naomba ushauri wana jukwaa.
 
Guys Ninaomba ushauri.

Nina mwanamke wangu nilikuwa nae kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu Bila kupata kazi.

Wakati huo yeye alikuwa na kazi anauza duka la cosmetics la mtu.

Nilikuwa Sina Hela mwamke alinivumilia sana ingawa Hela yake kuipata ilikuwa ngumu.

Miezi miwili kabla ya Mimi kupata kazi tukaachana sijui alichoka kuvumilia au vipi. Mimi nikapata kazi siku jina langu limetoka tu nikamtafuta maana bado nilikuwa na feeling nae nikamwambia anisaidie hela ili niende huko bukoba kwenye kituo Cha kazi akaniambia hana hela maana hela zote alizokuwa anatumza amennua kiwanja kwao.

Tangu pale aliniisha hamu nikaona kumbe mwenzangu alishamove on.

Mimi nikaja zangu bukoba nikapatana na kadada kengine nipo nae lakini yule mwanamke wangu wa mwanzo haachi kunisumbua muda wote anataka turudiane kwakweli ananipasua kichwa maana nakosa Cha kufanya ananilalamikia sana kwahiyo naomba ushauri Wana jukwaaa.
mimi sijui
 
Mkuu next time usituite "GUYS" achia watoto wa kike wa 2005 huo msemo.

Mwanamke rudiana naye kama unampenda.
 
Back
Top Bottom