ushahidi kuwa fedha za Ruzuku kwa wanafunzi haziwafikii walengwa

Brine

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
375
69
Attached document ni tangazo kutoka kwa mkuu wa shule ya nkomang'ombe, hata kama ni ufisadi this is too much, je tutafika?
 

Attachments

  • Nkoman g'ombe.jpg
    Nkoman g'ombe.jpg
    727.8 KB · Views: 42
Hatutafika kamwe! Serikali inasema, udahili wa wanafunzi wa darasa la saba ni 97%. Takribani wote wanahitimu bila ya kujua kusoma na kuandika. Ukombozi wa kweli hautofikiwa ikiwa kama Taifa linaua vipaji vya watoto.
 
Back
Top Bottom