USB Modem: Kwa wenye kujua nisaidieni!!

afkombo

Member
Feb 9, 2008
93
11
Habari zenu wadau!!
Naomba kama kuna mweye kujua kuhusu utaratibu wa hawa jamaa wa Zain,Zantel au Vodacom. Nina USB Moderm,ni Huawei E220.Nataka kumtumia mtu aliye Bongo.Sasa nilikuwa nauliza kwa mdau mwenye kujua,je! hizi kampuni zinaweza kukubali kumpatia connection ya Internet kwa hii moderm au lazima anunue kutoka katika maduka yao??
Natanguliza shukrani!!
 
zain www.zain.com

vodacom www.vodacom.co.tz

zantel ::: www.zantel.com :::

Tembelea tovuti zao wana email addresss zao na namba za simu unaweza kuwauliza moja kwa moja

Do not be ridiculous! You making this blog to show up so low! REMEMBER this is home of great thinkers!

Jibu ni kwamba modem yeyote inayofit sim card inaweza kufanya kazi popote. It is like unlocked handset, works for every chip. Great deal is to buy unlocked modem
 
Nashukuru Mshiiri kwa kunielewa. Lakini kuna Mahali kidogo napo hujanielewa,nafahamu hiyo compatibily issue lakini ninachouliza ni je,nikiwa nayo km ile inayofanana na ya kwao kwa kila kitu,wataweza kuniruhusu kupata connection? Nauliza hivi kwa sababu nilishawahi kusikia(sikumbuki ilikuwa wapi au lini) kwamba wao huwa wanahitaji kila kitu kitoke kwao,yani km ulikuwa na ya Voda then ukataka kuhamia Zain lazima ununue moderm zao hata km uliyo nayo inafanana umbo na function na za kwao,sina hakika juu ya hili na ndiyo maana nauliza.
 
Mzee inawezekana kabisa mtumie tu hiyo medem mshikaji wako.Ila inawezekana kwa namna gani!
Ukinunua modem za voda na ukataka kuhamia zantel wao voda wanaku modem yao wameibana kwa ajiri ya fuction zao ambayo si mbaya kibiashara....ila kuna namna ya ku unlock hiyo modem ambayo si kazi sana...na cheap kuliko kununua modem nyingine kwa 300k.

So kila kitu kinawezekana.
 
Zain na Voda modem zao ziko compatible ninavyoewlewa.
Zantel wanatumia technology tofauti. So uangalie unatuma modem ipi because itafanya kazi either Zantel or Voda and Zain.

Kwa kugoogle fasta fasta nagani hiyo Hauwei itafanya kazi on Voda and Zain not on Zantel.
 
zantel na ttcl wanatumia technlogy ya cdma.
Moderm unayotaka kutuma kwa ajili ya makampuni hayo mawili sharti iwe ni ya cdma.
 
tatizo ni kwamba moderm zipo locked, nimeshawahi kujaribu kubadilisha SIM, i mean moderm ni ya huawei lakini nilinunua voda shop ikiwa na SIM card ya voda baada ya kuweka SIM card ya zain ikagoma kuconnect ingawa wote hawa voda na zain wanatumia same technology.
 
Voda na Zain wana lock modems zao kwa one network.....
sasa kama yako iko free to any network ita work from any network....pia Vodacom wanaweza upgrade kama ina version tofauti.....hilo nina uhakika nalo
 
Kaka kama umeamua kumtumia nduguyo hiyo cdma modem ujue ataitumia kwa ttcl au zantel tuu. wao tigo, vodacom na zain hawatumii hiyo technologia ya cdma basi kama unataka kumrahisishia huyo jamaa yako atumie mitandao mingine mnunulie GPRS modem ambayo itafanya kazi tigo, vodacom na zain. habari ya asubuhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom