Ukishinda haulipiwi safari, kwa hiyo safari na taratibu zote gharama ni juu yako. Wakati unajza form yao ya kucheza inabidi uweke jina la mke au mme kama unaye, kwa watoto ni wale under 21 na wengine wanaokutegemea kisheria na wawe chini ya 21.
ukishinda, ni lazima uonyeshe kule marekani nani atakupokea wakati ukifika na ni lazima uwe a hela ya kujikimu, i dont know how much.
Kazi hawakutafutii, wanategemea ukiingia utafikia kwa huyo utayemesema then unaanza kama ni kazi za maboks, unesi. Kazi yeyote utaanza nayo.
US is not heaven, mwanzo wake ukianza kuishi ni lazima ufunge mkanda, sio lelemama, hat kama unayo hiyo Green Card. Nenda kwenye google, then DV LOTTERY au US GOV. utapata muelekeo