Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
nazungumzia iliyokwisha chezwa DV-2010.....so matokeo ndio yanaanza kutumwa kwa washindi mwezi huo arifu?kuanzia mwezi wa saba
nazungumzia iliyokwisha chezwa DV-2010.....so matokeo ndio yanaanza kutumwa kwa washindi mwezi huo arifu?kuanzia mwezi wa saba
shem hii kitu dv-2010 ilichezwa mwaka jana.....labda usubirie dv-2011 itakayochezwa mwaka huuKuapply inaanza lini?
Kuapply inaanza lini?
Kuna namba spesheli wanakuwa wamekupa, unaingia kwenye site husika na kuangalia matokeo kuanzia mwezi tajwa hapo juu. kutumiwa matokeo nahisi ni baadaye zaidi.nazungumzia iliyokwisha chezwa DV-2010.....so matokeo ndio yanaanza kutumwa kwa washindi mwezi huo arifu?
Ni kweli kwamba ni lazima ukishinda kabla jamaa hawajakupa visa ni lazima wakupime ngoma? Hii inaweza kuwa sababu kuu inayowa discourage wengi.
Msaada anayejua jamani, kama mtu ni mwanafunzi na umemaliza masomo yako nchi kama USA na ulikuwa unasoma legal. Kama umemaliza na kufanikiwa kupata kazi huko USA, kwa visa vya kuruhusiwa kufanya kazi. Je utafanya process gani ili upate hiyo green card?
Hey Nyani Ngabu....................nipe issue kama unajua.Hey Pretty....vipi unataka kijani?
Hey Nyani Ngabu....................nipe issue kama unajua.
Msaada anayejua jamani, kama mtu ni mwanafunzi na umemaliza masomo yako nchi kama USA na ulikuwa unasoma legal. Kama umemaliza na kufanikiwa kupata kazi huko USA, kwa visa vya kuruhusiwa kufanya kazi. Je utafanya process gani ili upate hiyo green card?
Mkuu, Nchi nyingi zinataka watu waweze kuwasiliana kwa lugha za huko kwao ( US ni kiingereza) Na ndiyo maana wanakuwa na programme za kufundisha lugha uwapo huko.Je, kama kiingereza hakipandi sawasawa inakuwaje?
Mi nadhani sababu ni moja tu, kwamba sio wa tz wengi wamekuwa wanacheza hii Lottery. ndio maana namba yetu ya washindi sio nzuri. na hii imesababishwa na mambo mengi, 1. Upatikanji wa taarifa ya kwamba lini inachezwa, 2. mbili ni huko kutishana ya kwamba ni lazima upite kwa agent na umlipe usd 50. Suala la picha nalo, nilijaribu kuuliza kupiga hiyo picha kwa qulity inayotakiwa kwenye studio moja pale Mwanza, Nyerere Rd. mtoto wa kihindi akaniambia ni 50,000 per person. nikaja Dar pale Zanaki nikapiga kwa 5,000 tu per person.
Normally applications zinapokelwa kuanzia Oct mpaka Dec every year, so lets spread the infos, so watanzania wengi wacheze. The minimum Education required is high school, Its so easy to play once you have the required photo.