Oga, madilu nakubaliana nanyi kwa asilimia zote. Mimi nacheza, with hope kuwa next year nitawajulisha kuwa nimepata!
Hapo umenena bongolander, nakutakia kila la kheri na mafanikio.
Oga, madilu nakubaliana nanyi kwa asilimia zote. Mimi nacheza, with hope kuwa next year nitawajulisha kuwa nimepata!
Bandugu,
Huwezi kushinda mchezo wa bahati na sibu kama hujacheza. Link zifuatazo hapa chini zitakuwezesha wewe kuingia ktk bahati na sibu hiyo BILA GHARAMA YOYOTE, angalieni asiwatapeli mtu....HAKUNA CHA AGENT................its very simple fuata maelekezo, fill in the forms tuma application yako instantly online:
fungua hii link ya kwanza halafu ujaze fomu, link nyingine mbili chini yake ni kukupa maelezo zaidi kwa ajili ya kuelewa nini unafanya: KUMBUKA KUFUATA MAELEKEZO especially ktk picha
http://www.dvlottery.state.gov/
http://travel.state.gov/visa/immigrants/types/types_1318.html
http://www.usimmigrationsupport.org/greencardlottery.html
Haya jamani Kila la kheri
nilifanya application yangu mwaka jana 2007 November. Nafurahi kuwajulisha kwamba leo asubuhi nimepokea barua kutoka Kentucky Consular Centre kwamba nipo kati ya wale waliochaguliwa kupata Green card mwaka huu!!!
Nashukuru sana na nahitaji tena muongozo wenu zaidi na zaidi ili niweze kufanikiwa kupata hiyo VISA. Nilijiandikisha na watoto wadogo wawili na sijui kama wote watapata pamoja na mama yao ambaye sikuwa na picha yake wakati huo kwa hiyo hajakuwepo kwenye entry.
Ogah na wengine wote mlioshauri na kuchangia kwenye thread hii nawashukuru sana kwa ushauri na mafunzo niliyoyapata kwenu. Kwa kupitia links ulizozitoa hapa kwenye post hii, nilifanya application yangu mwaka jana 2007 November. Nafurahi kuwajulisha kwamba leo asubuhi nimepokea barua kutoka Kentucky Consular Centre kwamba nipo kati ya wale waliochaguliwa kupata Green card mwaka huu!!!
Nashukuru sana na nahitaji tena muongozo wenu zaidi na zaidi ili niweze kufanikiwa kupata hiyo VISA. Nilijiandikisha na watoto wadogo wawili na sijui kama wote watapata pamoja na mama yao ambaye sikuwa na picha yake wakati huo kwa hiyo hajakuwepo kwenye entry.
Naomba mnisaidie whats next?? and I will be contacting you now and then muweze kunisaidia nisiipoteze nafasi hii wakuu wangu
Aise Mzuzu HONGERA sana ndugu yangu!... Kama wanavyosema waungwana humu, this world is full of resources ni unafiki na uchoyo wetu tuu. Watanzania jamani huko mliko tusaidiane! Sasa JF is one of the best board kwa watanzania.....All the best na Mungu akusaidie. Iam really happy for you!
Nadhani mliopata ni matokeo ya LOTTERY iliyochezwa 2006.
Ni DV-2009 diversity immigrant program for fiscal year 2008 (Oct 1, 2007 to Sept 30, 2009)
Mashaka matupu! hebu check vizuri.
It must be the one played in 2008. Otherwise why get a letter in 2008 for lottery played in 2006? Doesnt make sense.
Congratulations!!!
Thanks!! I actually send my entry on Oct-Nov 2007 for the first time, i was encouraged after reading the posts from Ogah and Masanja on this thread!
Thank you once again all that made me take a courage to put my entry on this
Nilishinda DV Lottery miaka kama 10 iliyo pita.
Kabla sijaja majuu nikajitolea kuwaelekeza watu wengi namna ya kucheza, wengi wao walinielewa lakini walikuwa na swali moja kubwa sana.
Ukishinda wanakutumia Tiketi ya ndege?
Nikawauliza anaye taka kwenda America ni wao au ni wewe?
Nikaambiwa Sasa bila Tiketi nitakwendaje na faida yake ni nini? Au unatuficha namna ya kupata tiketi?
Wewe tiketi umepata wapi?
Nikawaeleza namna nilivyo jikusanya na kugharamia safari yangu.
Jibu la mwisho likawa.
Ah! kama ndo hivyo si heri nibaki Bongo tu.
Sasa kama Watanzania walio wengi wana mawazo kama hao nilo kutana nao mimi DV Lottery is not for them.
kuanzia mwezi wa saba