Jaxx
Senior Member
- Mar 22, 2011
- 129
- 28
Umejitahidi sana kueleza na mara ya kwanza nilipoanza kusoma niliona unataka kujenga point flan ila mwisho wa cku umeingia chaka MBAYA SANA....Hebu jaribu kusoma tena hiyo thread ya mwenzetu maana huo muda ulipoweka nyekundu haupo, umejitahidi kubumba makosa, binafsi sioni alipotumia AM or PM, katumia saa zote kwa kiswahil, mfano;4 asubuhi..around 11am.... least 15 minutes before time, the interview will last for 1 hrs.....masaa 2....,ipo kuanzia saa 2 asubuhi mpaka 8 mchana.....,saa 5 asubuhi......Baada ya 5 minutes.....ufike saa 4 asubuhi ....saa 4:15 mpaka saa 5: 15 asubuhi...Pengine wewe ndo ukawa una hitaji msaada wa Lugha maana hapo ukitoa hiyo green inayoeleweka piua mm sioni kosa la Sarufi hata kidogo.....Is there any personal Interest au mmepishana mawazo???, SOMA TENA TAFADHALIKulikuwa na breakdown ya communication hapo. Walipokupigia simu walikuambia interview itakuwa "Tuesday 2nd May around 11am" which is wrong because tarehe 2 May ilikuwa Jumatatu. Kuna possibilities mbili hapo. Either wewe hukusikia vizuri or aliyekupigia simu alikosea kwa kukusudia au kutokusudia. Aliyekupigia simu alikuwa anaongea Kiingereza chenye accent ya kimarekani au ya kibongo? At the end of the day, only records of the conversation will enable us to know who made the blunder. Lakini kuna issue nyeti zaidi which need to be explored.
Unasema ulipoenda ubalozi walikuambia kuwa interview itakuwa Tuesday 3rd April. Ina maana mwezi mmoja nyuma? Au ulimaanisha Tuesday 3rd May? Whatever the date, pia walikuambia interview itakuwepo kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 8 mchana. Nilivyoelewa hapo ni kwamba huo ndio muda uliopangwa siku hiyo kwa ajili ya interview. Kila mtu hapo atakuwa alipangiwa muda wake.
Wakati ulipokwenda ubalozini kwa mara ya kwanza kwa nini hukuwaliza pia interview yako itakuwa saa ngapi? Kama tarehe waliokupa mwanzo ilikuwa imekosewa, then it is also likely that muda wako wa interview utakuwa ulikosewa pia. Inaonyesha ulichofanya wewe baada ya kupewa tarehe mpya, ulidhani muda wa interview utakuwa ule ule uliopewa mwanzoni kwenye simu (11am). Kwa nini uliuamini huu muda uliotajiwa mwanzoni kama ni sahihi? Why did you only verify the date but not also the time for the interview? Pia umesema uliambiwa interview intaanza saa "11:15am-12:15am"? Una maana kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa sita za usiku? I am lost here.
Na huyo mtu ambaye wanasema aliwasiliana na wewe kukuambia ufike saa 4 asubuhi na kuwa interview itaanza saa 4:15 mpaka saa 5: 15 asubuhi ni yupi? Ni yule aliyekupigia simu au ni yule aliyekupatia tarehe mpya ulipokwenda ubalozini?
My observation ni kwamba kama ulienda ubalozini kuverify tarehe sahihi ya interview (ambayo ulipewa) lakini hukuverify pia muda wa interview (ukidhania kuwa muda uliombiwa mwanzoni kwenye simu ni sahihi) then, you should also carry the blame.
Posts zako nyingine pia zinanichanganya. Umesema kuwa the "Database shows Interview was scheduled from 8pm to 2pm, at the same time at 11:20am. am told they are almost done. At the same time again, i was told i will last for 1hr.i.e. from 11:15am-12:15am" Una maana kuanzia saa mbili usiku mpaka kesho yake saa nane mchana? Hata kama ulikuwa unamaanisha from 8am to 2pm, still huo ndio muda waliokuwa wameutenga kwa ajili ya interview ya watu wote, na sio wewe tuu. Interviews zinawezwa kumalizwa kabla ya muda uliopangwa kulingana na idadi ya interviewees waliohudhuria.
Pia nashangaa watu wanatoa pole tuu bila hata kusoma jinsi mtoa mada anavyojichangaya kwenye posts zake. Kama interview yenyewe ingekuwa na maswali ya kuandika saa kwa kingereza, then kwa mantiki hii sidhani kama ungepita. I am sorry for sounding so cruel but I am responding to what you wrote. Otherwise, you need to clarify what you said above especially the times.