huyo ni Ini Edo sio mimi,nina sura nzito kama mtori best
Kuchana nywele ndefu kila siku inachosha achaa..bht, kuwa mkweli mwanakwetu hivi kusingekuwa na wanaume mngevaa mawigi kwa ajili gani sasa?? Mi naamini mnachokiangalia nyie dada zetu ni muenekano wa kuvutia kwanza kwa wanaume then kama kuna wanawake wenzio wataka-kuadmire ni secondary . Lakini nakwenda mbali zaidi kusema kuwa huenda kuna lack of confidence miongoni mwa akina dada na wamama wanaopenda kuweka mawigi. Ukiwa na confidence na vile ulivyo hutahitaji wigi. Kwa kweli utadhani wale askari waliokuwa front line kule kagera....