Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

cant wait 2see u jamani, vp hayo mafuta ya olive oil niyamgando au ya maji samahani kwakuuliza nataka nimnunulie na wifi ako! vp yanalainisha kipilipili au.

Ni mafuta ya maji, hayalainishi ila ni mazuri yanafanya kipilipili kichambuke!!!!!
 
Siku hizi wanawake wetu wanashindana kubandika manywele ya bandia ili wawe na nywele ndefu zilizodondokea mgongoni...

But wapo watu, mimi nikiwemo huwa napenda kuona mwanamke akitoka na nywele zake fupi na kazisuka mitindo ya enzi na enzi kama hivi.....very beautifull

DSC03173.JPG

Kweli kapendeza na mabutu. Mgeuze tumuone resepsheni.
 
mi na gu upala gwang cjal maneno yao, japo wanaona ulembo mpaka uxuke hayo manywele yao, nadumisha mila za bibi zao, japo n vgumu kuwa km wao, naamin nikiwa na upala nakua zaid yao, lkn aman na upendo vtawale kwao,
 
Binti jifunze kuandika kiswahili fasaha katika Forum hii....
 
Back
Top Bottom