Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Binafsi napenda mwanamke mwenye nywele za wastani, alafu zipakwe rangi fulani hivi wadada wa mjini wanapenda.
 
..bht, kuwa mkweli mwanakwetu hivi kusingekuwa na wanaume mngevaa mawigi kwa ajili gani sasa?? Mi naamini mnachokiangalia nyie dada zetu ni muenekano wa kuvutia kwanza kwa wanaume then kama kuna wanawake wenzio wataka-kuadmire ni secondary . Lakini nakwenda mbali zaidi kusema kuwa huenda kuna lack of confidence miongoni mwa akina dada na wamama wanaopenda kuweka mawigi. Ukiwa na confidence na vile ulivyo hutahitaji wigi. Kwa kweli utadhani wale askari waliokuwa front line kule kagera....
Kuchana nywele ndefu kila siku inachosha achaa
Ndo mana tunabadilisha styles for convenience
Ukizisuka nywele ndo zinakua zaidi ukichana tuuu zinakatika na kudumaa
Japo kweli Kuna Tatizo la over reliance on these fake hairs
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom