TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,893
- 11,290
sayuu....aidoma?
haidori!
sayuu....aidoma?
konichua.....arigato
wa kwetu wewe na NN mmehami apande ipi ya Duluti? ziwani?
umenifurahisha sana umenikumbusha O Level kipindi kile Jitegemee duh nimewakumbuka wengi sana wengine sasa hv uwauza mili yao,waizi kwahiyo hiyo kutosikia la mkuu...mwanamke wig bwanaaa....
tena siku hizi kuna hizo wanaita lace wigs,shurti unatoka kama beyonce banaa!
mnh usuke mabutu utoke kama mrs lawino,inahusuuuuu
acheni kuwa conservatives!
I don't know why u r calling it fake... when I wrote that post my mind was on hair straightening I wouldn't call it fake because at the end its my hair but I am doing treatment that make my hair straight, smooth and easy to maintain...this treatment is repeated after every 6 or 8 months... i guess she is just lazy to maintain her hair or dont wanna workout...Is it easy to maintain fake hair? C'mon on now....just a few days ago this one girl told me she wants to workout so she can tone (whatever that is) but she doesn't want to sweat coz that's gonna mess up her hair...
I think every week or every other week she goes to get her hair done (and yes it's treated with a whole bunch of chemicals)....so how easy is that?
hapo ni Nagoya wa kwetu...wewe bado kufika eeh?
hapo mbando, nadhani NN atanipeleka tukitoka Ikwiriri tunapokwenda vekesheni
Na B atakuwa wapi? kubeba boksi?
Mkuu sipati picha ulikuwaje alafuukute barabarani foleni ilikuwaaitembei ,pole yakoMwana umegonga kunako, siku moja nusura nitapike katika daladala tulikuwa tumeshonana alafu bidada ndio yuko usoni kwaku, balaa
..bht, kuwa mkweli mwanakwetu hivi kusingekuwa na wanaume mngevaa mawigi kwa ajili gani sasa?? Mi naamini mnachokiangalia nyie dada zetu ni muenekano wa kuvutia kwanza kwa wanaume then kama kuna wanawake wenzio wataka-kuadmire ni secondary . Lakini nakwenda mbali zaidi kusema kuwa huenda kuna lack of confidence miongoni mwa akina dada na wamama wanaopenda kuweka mawigi. Ukiwa na confidence na vile ulivyo hutahitaji wigi. Kwa kweli utadhani wale askari waliokuwa front line kule kagera....waache wachome mahindi Fab
that doesnt stop us from looking fabulous wit 'fake' hair (lol)
I do keep mine clean though....tena kwa manufaa yangu binafsi!!!
Fab unajua kun ayale feki na mengine orijino? feki bana mtu ni kama kasukia katani kichwani lol!!!!!!!!!!!!
hapo mbando, nadhani NN atanipeleka tukitoka Ikwiriri tunapokwenda vekesheni
..bht, kuwa mkweli mwanakwetu hivi kusingekuwa na wanaume mngevaa mawigi kwa ajili gani sasa?? Mi naamini mnachokiangalia nyie dada zetu ni muenekano wa kuvutia kwanza kwa wanaume then kama kuna wanawake wenzio wataka-kuadmire ni secondary . Lakini nakwenda mbali zaidi kusema kuwa huenda kuna lack of confidence miongoni mwa akina dada na wamama wanaopenda kuweka mawigi. Ukiwa na confidence na vile ulivyo hutahitaji wigi. Kwa kweli utadhani wale askari waliokuwa front line kule kagera....
Tukitoka Ikwiriri tutaenda Nagorno-Karabakh halafu tutaunganisha juu kwa juu hadi Nippon....
yaani NN nipo zaidi ya tayari kwa safari zoooooote ulizopanga. I cant wait to explore places!!
Nagorno-Karabakh utapa enjoy sana aisee....wewe subiri tu....usisahau na kamera....
kumbe siku ile ulikuwepo hehe nachukia nywele za bandia mno:roflada Mmoja hayo manywele ya bandia yaliwahi kuchomoka akiwa class DIT. Ilikuwa balaa. Nywele za kuzaliwa nazo ndio Haswa..
..Sawa bht, nikionacho mimi hili la kuwa na nywele natural si wanawake wengi wanaweza kuwa hivyo wakati wote. Kwa mfano kuna dada mmoja nafanya nae kazi ofisi moja. wakati alipoanza kazi kwenye hii ofisi huwezi kuamini alikuja na nywele zake natural, rangi ya ngozi ni nyororo black ( demu mweusi anang'aa kama jongoo) kwa kweli nilikuwa mtu wa kwanza kumtokea..mie ndo maana wakati mwingine huwa nahisi kuna sifa nyingine za kike sina mwanakwetu....
mimi navaa niiridhishe nafsi yangu kwanza, that is primary!! however I dress/do my hair nataka niwe comfortable, confident and decent!! I can go with my own natural hair au nisuke rasta au weave for a change.
that is me bwana Sajenti..............