Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Halafu nyie mnasahau how difficult it is to maintain that naturale hair...
 
Halafu nyie mnasahau how difficult to maintain that naturale hair...

Is it easy to maintain fake hair? C'mon on now....just a few days ago this one girl told me she wants to workout so she can tone (whatever that is) but she doesn't want to sweat coz that's gonna mess up her hair...

I think every week or every other week she goes to get her hair done (and yes it's treated with a whole bunch of chemicals)....so how easy is that?
 
Its easy to maintain natural hair shem.....compared to 'fake' hair

nyweli za bandia zenyewe ni ghali na matunzo ni ghali pia, na zinakufanya mtumwa wake kweli kama hapo kwenye red. (binafsi nimuathirika wa hilo...siendi swimming nikiwa na fake hair)

kwa wale wanaosema zinanuka, si kweli hata natural hair inanuka kama haisafishwi. Nywele bwana zinahitaji usafi wa hali ya juu usijindanganye eti hiz ni asili so sioshi mpaka miezi sita maana zita'shrink'
 
Hi na hii natural dread nayo mtasema ni nywele za bandia ?
sasa nyie bwana ..NO.
 
halafu haya manywele ya bandia kama mtumiaji siyo msafi, huwa yananuka kweli kweli.
nijuavyo mimi nywele za bandia ni kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa nywele za kichwani, mfano kuna watu wengine hawana nywele kichwani sehemu zote.
Hawa watu huwa wameliwa nywele kwa maradhi au kwa kuzaliwa hivyo hivyo

pia kwa warembo wanaotaka kuonekana zaidi ya mungu alivyowaumba.

Usafi wake ni jukumu la mtumiaji.
Asanteni
 
mwanamke wig bwanaaa....

tena siku hizi kuna hizo wanaita lace wigs,shurti unatoka kama beyonce banaa!

mnh usuke mabutu utoke kama mrs lawino,inahusuuuuu

acheni kuwa conservatives!
 
mwanamke wig bwanaaa....

tena siku hizi kuna hizo wanaita lace wigs,shurti unatoka kama beyonce banaa!

mnh usuke mabutu utoke kama mrs lawino,inahusuuuuu

acheni kuwa conservatives!

waache wachome mahindi Fab

that doesnt stop us from looking fabulous wit 'fake' hair (lol)

I do keep mine clean though....tena kwa manufaa yangu binafsi!!!
Fab unajua kun ayale feki na mengine orijino? feki bana mtu ni kama kasukia katani kichwani lol!!!!!!!!!!!!
 
I do keep mine clean though....tena kwa manufaa yangu binafsi!!!
Fab unajua kun ayale feki na mengine orijino? feki bana mtu ni kama kasukia katani kichwani lol!!!!!!!!!!!!

Kheeee...shem kumbe na wewe una lace front eeeh...au una weave....au ndio kitu hicho hicho...?
 
Kheeee...shem kumbe na wewe una lace front eeeh...au una weave....au ndio kitu hicho hicho...?

aaah shem weave muhimu kwa kweli kw awanawake wengi sasa hivi.....khaa yaani kila siku tu nitokee hivo hivo kisa??

najipendezesha naridhika mie, mwanamke urembo shem!!!!
 
Hizo nywele zimewekwa karikiti ndio zikasukwa pole sana Boss..
FL1

kama nimemwelewa boss, yeye anapenda nywele asilia na si za kuungaunga [ziwe na relaxer, curl au hata fupi]... i like the same, yaani mimi criteria ya kwanza ya kukimbia bibi ni nywele za kuunga au kushonea

  1. kwanza ukishika kichwa kinakua kama kina manundu nundu
  2. pili most of them zinakua tofauti sana na original kiasi kwamba ukiangalia nyuma ya kichwa unakutana na kipilipili against indian hair za mbele [tetracycline!]
  3. tatu wanawake wengi sana huonekana more cute wakinyoa nywele zao ila hawajui tu

big up to all women with their natural hair and no sugar added!!!
 
Back
Top Bottom