Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

Zitto ni kibaraka.....na wote wanaomuunga mkono ni ajents wa sisiemu kwa kutaka kukigawa Chadema.

Narudia, ni haki ya Nyepesi Z Kabwe kuwa na nia ya kuwa rais, lakini anapo mahali pa kuelezea nia yake ndani ya chama na muda gani. Hata hao CCM, hakuna hata mmoja aliyetamka hadharani nia yake ya kugombea urais kwa sasa, na kama atafanya hivyo anajua wapi na lini ndani ya chama.

Huyo ni mchumia tumbo, mlafi na anayetafuta sifa ambazo alisha zipoteza......!
....Ntataja walioficha hela uswis kama sisiem wasipowataja.....zamani ulikuwa hivyo? Unaendesha hammer walio waliokuchagua wanaishi kwenye nyumba za tembe.......! Anza kwa ku'manage mke kwanza.......!

Kibanga Msese
 
Ifike wakati apuuzwe kama Shibuda....Kijana ZZK busara na Hekima ni zeroooooooooooo kabisa. Ndio awe Rais huyu...
 
Zito mnamuonea. Mbona slaa anafanya kampeni za urais wakati hatatume ya uchaguzi haijatoa ratiba ya kampeni. Kwa sasa slaa hana sifa sa kuongoza nchi hii. Rekodi yake ya uadilifu inatia shaka. Ni mzabizabina na mchonganishi. Akichaguliwa nchi itaingia kwenye machafuko. Zito kaza buti hao maajuza wasikutishe
 
Wema kamshindwa ataiweza CHADEMA,poleni na njaa za madaraka.Sasa si muda wa kuteua mgombea urais tulien mbona mna haraka kama mmebanwa na tumbo la kuhara!
 
Mnafiki ni wewe namba moja.Mbona wewe umejificha na ID feki ya TUKO.Wewe ndiye mchochezi namba moja unayetaka tukiona mtu anavuruga chama tuogope kusema pole sana.Kama wewe sio mnafiki ungeanza kusema wewe ni nani? Kutumia majina halisi si hoja BTW unaweza kutumia majina halisi huku ukiwa na ID feki hata kumi.Huenda wewe ni mmoja wao na ninabishana na mtu mwenye ID hata kumi.
Usidhani kila mtu anayetetea ustaarabu ndani ya chama amepewa vijivyeo hapo CDM na wala usidhani kila mtu ana njaa kama ulivyo.
Unataka kunifundisha namna ya kutoa maoni hapa JF.Pole sana na umekosea sana.
Watu tuna uchungu na demokrasia na tunachelea kuona watu wachache wakigeuza demokrasia kuleta fujo.
Kwanini usimshauri huyo kipenzi wako asiwe mstaarabu kwa maslahi ya chama? Kwanini asiwe kama Mnyika au January Makamba? Kwani akifuata ushauri wa wazee wake ndani ya chama huo mwaka 2015 haitafika? Lazima sisi wengine tumwambie NO punguza spidi,jenga chama kama wenzako,tulia kama wenzako halafu kipenga kikipulizwa chukua fomu.Hapa kuna kosa gani? Hapa kashambuliwa au kaambiwa ukweli?
Ninakushangaa wewe TUKO unayeona swahiba wako kaonewa kwa kufundishwa ustahimilivu wa kisiasa.
Narudia tena kukuonya usitake kuchagulia watu cha kujadili hapa JF.Hakuna sheria yoyote iliyovunjwa,LAU kama kuna sheria nimevunja nishtaki kwa MODS wanifungie kwa sababu umeonyesha wewe ni dikteta mkubwa usiyependa kuona Swahiba wako akiguswa.Mtu mnafiki na mzandiki anajulikana tu kwa maneno yake kama wewe unayeshambulia mleta mada badala ya kujadili mada yenyewe.Huo ni uwendawazimu!
Samwel Sitta alisema mwanasiasa ni lazima uwe na ngozi ngumu sasa kama mnalalamika hivi kwa kuhoji tu matendo yenu kwa nia njema je,tukiwapa Urais mtaweza?

...Kwa kadri ninavyosoma michango yake hapa napata picha ya Molemo kama ni kijana asiye na uwezo wa kusimama kwa miguu yake na hana option nyingine kimaisha nje ya siasa, na kwa kuwa maisha yake yanamtegemea mtu/watu fulani walioko kwenye nafasi ya kumbeba ndani ya Chadema na kwa namna yoyote endapo Zitto atakamata madaraka makubwa ndani ya Chadema basi kuna hatari ya Molemo kupoteza na hivyo direction na ndoto zake kimaisha kufutika kabisa...

...Hii ndio picha ninayoiona, uchungu alionao Molemo kwa Zitto sio wa kawaida, na sio uchungu kwa Chadema, ni kama vile ni very personal, kuna maslahi yanahatarishwa hapa....

...Ushauri wangu, Kama Una Uwezo Kisiasa Kama Alivyo Zitto, Simama kwa Miguu Yako na Utahesabiwa, Ata kama upepo wa Chama Utakoma, Watanzania Watakuhesabu na Kukuchagua Kama Molemo, la hauna Uwezo, Maisha sio Siasa Tu, kuna shughuli chungu nzima za kufanya na ukaishi vizuri....
 
Kati yako na Zitto nani mnafiki? Zitto, Mnyika, Slaa, Mbowe na wengine wanatoa maoni yao hadharani wakitumia majina na utambulisho wao halisi. Wewe unamshambulia Zitto ukitumia jina Molemo. What is Molemo by the way. Najua una jina halisi, then kwa nini unajificha na ID za kiJF kumshambulia Zitto? Wewe ndiye mnafiki namba moja, maana nina uhakika wewe ni mmoja wapo wa waliopewa vijinafasi hapo CDM, na ukiwa na kiongozi wako Zitto unajifanya kumpigia makofi, lakini baadae ukirudi nyuma ya kompyuta unamponda. KAMA WEWE SIO MNAFIKI JITOKEZE HADHARANI KWA JINA LAKO, USEME UNAMPINGA ZITTO. Eti unaongelea mashujaa!!! Nitajie hata shujaa mmoja aliyewahi kuwa shujaa kwa kujificha na viji ID feki kwenye mitandao...

Ndio maana nilisema huyu Molemo ni mtu mpuuzi sana
Kwasababu yeye ni mtumishi pale na anatumia mwanya huo kupata habari za kiofisi na kuja kumchafua Zitto hapa, amini usiamini mnafiki huyu akiwa pale ofisini atakuwa anacheka na kumpigia makofi Zitto kwa kila kitu kisha anaingia JF na kuja kuanza kumponda humu.

Ndio maana nikamwambia kama anadhani kupata nafasi pale ofisini na kutumia mwanya huo kupata taarifa za kiofisi na kuja kuchafua wenzake humu JF kwa ID fake basi hasaidii chama hata kidogo zaidi ya kuongeza mifarakano
Na akae akijua kuwa huu mzozo yeye ni mmoja wa watu wanao upalilia kwa kiasi kikubwa huku yeye akidhani anatumia juhudi kumzima Zitto
Kama kweli yeye ni shujaa na aje na real name kama wenzake na kisha atamke hayo anayoyasema,
 
Last edited by a moderator:
...Kwa kadri ninavyosoma michango yake hapa napata picha ya Molemo kama ni kijana asiye na uwezo wa kusimama kwa miguu yake na hana option nyingine kimaisha nje ya siasa, na kwa kuwa maisha yake yanamtegemea mtu/watu fulani walioko kwenye nafasi ya kumbeba ndani ya Chadema na kwa namna yoyote endapo Zitto atakamata madaraka makubwa ndani ya Chadema basi kuna hatari ya Molemo kupoteza na hivyo direction na ndoto zake kimaisha kufutika kabisa...

...Hii ndio picha ninayoiona, uchungu alionao Molemo kwa Zitto sio wa kawaida, na sio uchungu kwa Chadema, ni kama vile ni very personal, kuna maslahi yanahatarishwa hapa....

...Ushauri wangu, Kama Una Uwezo Kisiasa Kama Alivyo Zitto, Simama kwa Miguu Yako na Utahesabiwa, Ata kama upepo wa Chama Utakoma, Watanzania Watakuhesabu na Kukuchagua Kama Molemo, la hauna Uwezo, Maisha sio Siasa Tu, kuna shughuli chungu nzima za kufanya na ukaishi vizuri....

Mwambie zitto mfuate mgao wenu kwa Mhando kabla hajawasahau.
 
Ifike wakati apuuzwe kama Shibuda....Kijana ZZK busara na Hekima ni zeroooooooooooo kabisa. Ndio awe Rais huyu...

Upo sahihi kabisa mkuu. Zitto bado sana, ninahakika hazijui vizuri changamoto za TZ kwa wakati huu. Simwoni akiweza kuusimamia umoja wa taifa hili ukizingatia kuwa tuna matatizo kama, ufisadi uliokithiri, udini unaoshamiri, muungano unaolalamikiwa nk. Atambue kuwa uchumi utaweza kuwa imara tukiweza kuwa wamoja na kuwa wakali katika ufisadi (sina hakika kwa hili la ufisadi yeye ni msafi kiasi gani!)
 
Lakini huyuhuyu Dr. Kitila Mkumbo kuna uzi humu humu jukwaani akimsifu ZZK 2015 kwamba ni mtu makini na asiyeyumbishwa. Bahati mbaya natumia simu ningekuletea hiyo post uione.
..........sasa ulitaka amponde, yeye kamsifu zitto na yeye amesifiwa na Molemo, shida iko wapi, wala hii haiondoi ukiherehere wa zitto
 
Ndio maana nilisema huyu Molemo ni mtu mpuuzi sana
Kwasababu yeye ni mtumishi pale na anatumia mwanya huo kupata habari za kiofisi na kuja kumchafua Zitto hapa, amini usiamini mnafiki huyu akiwa pale ofisini atakuwa anacheka na kumpigia makofi Zitto kwa kila kitu kisha anaingia JF na kuja kuanza kumponda humu.

Ndio maana nikamwambia kama anadhani kupata nafasi pale ofisini na kutumia mwanya huo kupata taarifa za kiofisi na kuja kuchafua wenzake humu JF kwa ID fake basi hasaidii chama hata kidogo zaidi ya kuongeza mifarakano
Na akae akijua kuwa huu mzozo yeye ni mmoja wa watu wanao upalilia kwa kiasi kikubwa huku yeye akidhani anatumia juhudi kumzima Zitto
Kama kweli yeye ni shujaa na aje na real name kama wenzake na kisha atamke hayo anayoyasema,

Nikufahamishe wewe Gamba kwamba wala hizo ofisi za CDM sijawahi kufika.Mimi ni mkulima na ninalima na kuuza mazao yangu bila kutegemea fadhila za uteuzi wa mtu yeyote.
Mimi ni mtu huru na wala sishikiwi akili kama wewe uliyekasirika mara tu baada ya uchaguzi wa Bavicha na ukaanza vita na viongozi wa CDM.
Umeonyesha upeo wako wa kijinga kabisa kumjadili mleta mada badala ya kujadili hoja.
Sasa wewe Gamba nikuulize hiyo mada niliyoleta ya gazeti la mwananchi si ya kweli? Je huyo mtu wako hakuisema? Na Je Mzee Mtei hakukemea hiyo hali? Sasa kosa langu ni nini? Mwambie huyo mtu wako akitaka asijadiliwe humu basi aheshimu wazee wa chama wanaomshauri.Ajenge chama kama wenzake na aache kuropoka hovyo mambo anayojua yanatishia umoja ndani ya chama.Vinginevyo hataacha kujadiliwa na kama sio mimi hata wengine watamjadili tu.Huo ndio ushauri wangu kwake.
Vinginevyo mbona na wewe unatumia ID Feki? Ama kweli nimeamini nyani haoni kundule.
 
Sina Imani na Zitto ksema kweli. Sion kama ana nia njema na chama chake. Naamini ni mweledi kias cha kuelewa hatar ya kuzuka kwa Kambi za wagombea kwenye chama kila mtu akiama kueka nia yake wazi. Kwa wakat huu ambao chama kinahitaj sana umoja sidhan kama ni wakat muafaka kuanza kutangaza hizo nia. Ndio ni haki yake, lakin mtu mweledi na mwenye nia njema na chama haez risk chance yoyote ya kuepusha malumbano katika chama chake ikiwa ni pamoja na kua tayar kujinyima hiyo haki ya kueleza nia yake.
Zitto anajua kua moja ya vitu ambavyo ni adui mkubwa kwa ustawi wa CCM basi ni makundi ya wagombea uraisi..CDM itakua salaa kama tu na yenyewe itaepuka makosa ya CCM yanayopelekea nia kutangazwa hovyo, sijui nikwann sasa Zitto analeta haya kwenye chama chake.
My take;kama kweli ana nia mbaya na chama CDM washukuru harak zake kwan kaanza mapema sana wajipange kumdhibiti.
 
Nikufahamishe wewe Gamba kwamba wala hizo ofisi za CDM sijawahi kufika.Mimi ni mkulima na ninalima na kuuza mazao yangu bila kutegemea fadhila za uteuzi wa mtu yeyote.
Mimi ni mtu huru na wala sishikiwi akili kama wewe uliyekasirika mara tu baada ya uchaguzi wa Bavicha na ukaanza vita na viongozi wa CDM.
Umeonyesha upeo wako wa kijinga kabisa kumjadili mleta mada badala ya kujadili hoja.
Sasa wewe Gamba nikuulize hiyo mada niliyoleta ya gazeti la mwananchi si ya kweli? Je huyo mtu wako hakuisema? Na Je Mzee Mtei hakukemea hiyo hali? Sasa kosa langu ni nini? Mwambie huyo mtu wako akitaka asijadiliwe humu basi aheshimu wazee wa chama wanaomshauri.Ajenge chama kama wenzake na aache kuropoka hovyo mambo anayojua yanatishia umoja ndani ya chama.Vinginevyo hataacha kujadiliwa na kama sio mimi hata wengine watamjadili tu.Huo ndio ushauri wangu kwake.
Vinginevyo mbona na wewe unatumia ID Feki? Ama kweli nimeamini nyani haoni kundule.

Leo unaikana ofisi kuhalisha hoja yako? Haaaa wewe ni MNAFIKI MKUBWA, kwani hii ni mara ya kwanza kumchafua zitto? au kuna mtu humu ndani hajui msimamo wako juu ya Zitto? au na hiyo ''My take'' umeikopi mwananchi?
Na huyo Mzee Mtei ki baiolojia uwezo wake wa tafakuri unapotea, tulishauri sana sasa apate watu wa kumsimamia na hasa anapoongea na media, toka alipokuja na madai kama ya kina Shekh Ponda kwenye tume ya katiba nikajua inatosha

Sina cha kuficha natumia Jina langu halisi, pitia kwenye kumbukumbu zenu hapo ofisi uone kama utaona mgombea yeyote wa BAVICHA mwenye jina la Paul.S.S.

Kuhusu Gamba check na Signature yangu
 
Leo unaikana ofisi kuhalisha hoja yako? Haaaa wewe ni MNAFIKI MKUBWA, kwani hii ni mara ya kwanza kumchafua zitto? au kuna mtu humu ndani hajui msimamo wako juu ya Zitto?
Na huyo Mzee Mtei ki baiolojia uwezo wake wa tafakuri unapotea, tulishauri sana sasa apate watu wa kumsimamia na hasa anapoongea na media, toka alipokuja na madai kama ya kina Shekh Ponda kwenye tume ya katiba nikajua inatosha

Sina cha kuficha natumia Jina langu halisi, pitia kwenye kumbukumbu zenu hapo ofisi uone kama utaona mgombea yeyote wa BAVICHA mwenye jina la Paul.S.S.

Kuhusu Gamba check na Signature yangu

Zito kachafuliwa na nani kama si yeye mwenyewe na ushamba wa madaraka, kwanza zito kitu gani ndani ya CHADEMA zaidi ya undumilakuwili?Aende kwa kikwete akadai posho zake za 2010 kwa kazi aloifanya.Aliondoka kaburu nini Zito misifa!Kwanza katiba haijapitisha yeye kubana pua nataka rais,yeye anafikiri ana uwezo kumbe hana lolote.
 
Mkuu ngoja nikuwekee quote ya mwanazuoni na mwalimu wangu ninaye mkubali sana binafsi kuhusu madai yako
Moja ya matatizo yetu kama nchi na wananchi ni kuchukia watu wanaofikiri tofauti.

Tumezoea mazoea; ukiona mtu anaenda tofauti na mazoea tunaanza kumpa majina kibao: kanunuliwa, msaliti, anajipendekeza, hana ushirikiano, n.k.. Lazima tubadilike na kujua kwamba binadamu tu tofauti kimwili, kiakili na kila kitu.

Ili tutoke hapa tulipo lazima turuhusu akili zifikirii sawasawa na tena tuhangaike kufikiri kitofautitofauti. Kama tunataka kila mtu afikiri kama sisi ni kuendeleza utamaduni wa kutumia akili za kuazima.

Zitto ni miongoni mwa watu wachache hapa nchi aliyeamua kujipambanua na kuamua kufikiri kitofautitofauti. "Kosa" lake ni kwamba ameamua kuacha kufanya mambo kwa mazoea na ameamua kuhangaika kufikiri kitofautitofauti. Zitto analaaniwa kwa kudiriki kwake kuhangaika kufikiri na kuachana na mazoea. Atabambikizwa majina yote ya ovyo kama usaliti, kujipendekeza, n.k. Tunamtia moyo aendelee kuhangaika kufikiri, wapo watakaomuelewa.
 
Leo unaikana ofisi kuhalisha hoja yako? Haaaa wewe ni MNAFIKI MKUBWA, kwani hii ni mara ya kwanza kumchafua zitto? au kuna mtu humu ndani hajui msimamo wako juu ya Zitto? au na hiyo ''My take'' umeikopi mwananchi?
Na huyo Mzee Mtei ki baiolojia uwezo wake wa tafakuri unapotea, tulishauri sana sasa apate watu wa kumsimamia na hasa anapoongea na media, toka alipokuja na madai kama ya kina Shekh Ponda kwenye tume ya katiba nikajua inatosha

Sina cha kuficha natumia Jina langu halisi, pitia kwenye kumbukumbu zenu hapo ofisi uone kama utaona mgombea yeyote wa BAVICHA mwenye jina la Paul.S.S.

Kuhusu Gamba check na Signature yangu

Mtoto wa kiume hawi mpumbavu kama wewe.Weka ushahidi usio na shaka hapa kama mimi ni kiongozi wa CDM.Kwa ujinga wako unadhani mtu yeyote anayepinga vitendo vya kugawa chama vinavyofanywa na mtu wako basi mtu huyo ameajiriwa makao makuu ya CDM.Thibitisha kama mimi nimeajiriwa CDM makao makuu vinginevyo utaonekana wewe ni JUHA.
Mwanasheria mkuu wa serikali alisema kuna watu vichwa vyao ni vya kufugia nywele na wewe umethibitisha hilo kwani badala ya kujadili hoja ya gazeti la mwananchi iliyoletwa jamvini wewe unamjadili mleta hoja!
 
Kama unaikana ofisi basi mimi sina cha kusema tena, na ninakubali kuonekana JUHA
 
zito sasa naanza kumfananisha na hitler...maana hitler nae alikua na sifa kama hizi, Hakuoa,,, alikua mbishi na mwenye kuamini yeye ndo solution kwa wananchi wa ujerumani. Alikua hakubali kubishiwa na kila analosema yeye basi wengine ndo wafuate...THE FUHRER ALWAYS IS RIGHT.......Mkuu kumlinganisha hitler na Zitto ni kosa kubwa,kwanza Hitler alikuwa mzalendo wa kufa ndiyo maana hakuwa hench man wa Chamberlain wala Stalin all he wanted was a free Germany out of exploitative capitalism and Communism...na hata baada ya vita ya pili kuisha Winston Churchill alisema kwenye speech yake kwamba kama angekuwa na uwezo angemtafuta Hitler aje kuongoza Uingereza,mtu kama yule alikuwa maskina na alianza kupiga kampeni barabarani,kakaa hadi gerezani,alihongwa fedha nyingi na mabepari akagoma leo unataka umlinganishe na Zitto kweli?the guy is struggling to mature in politics lakini huwezi ukakua kisiasa usipokuwa na ambition,common goals and mutual understanding between you and the society....na Zitto atakuja geukwa na CCM hiyo maana Chadema walishajiandaa kwa hili....kina Rostam,lowasa,Mkapa,Kikwete and the rest of the TISS are desperate na they would do anything to maintain their Status quo
 
Maneno aliyoongea ni kuntu na alisema yeye sio malaika kuna mambo mabaya walifanya na kuna mema walifanya so yale mema tuyaenzi umesikia wewe konoike au strabag au kajima?

Kwahiyo Jema ni kuwaogopa kama ukoma...wee wa wapi?
Jiulize alivyosema hayo maneno mazingira yalikuwaje? Hapa kuna mtu anaitwa ZZK ambaye ana dhamira ya kuwa Rais wa JMT.....la kupima ni kama dhamira yake ni kukomboa watanzania kama anavyojinadi na sio kuquote maneno ya JKN, the late vibaya kwa ajili ya kumsulubu ZZK

Out of curiousity kwanin ZZK anashambuliwa sana kwenye suala la urais?

Best Regards
RLS aka Kajima
 
Back
Top Bottom