Urafiki wa Members Jf umekaa KIUNAFIKI zaidi, kuliko uhalisia.

kama baiskeli za kukodi kule shinyanga nicas Mtei

We BAGAH,
Nakuonea huruma sana.
Wewe type zako ushazoea Ma-modo.
Huku unakotaka kuingia ni sekta nyeti tena yenye kuhitaji pumzi nyingi na mikikimikiki ya kutoboa anga.
Nicas anakuingiza kigingi tu,ye mwenyewe mbona kachemka kwa yule Lishtobe lake?
Utaihama nchi ya Wazalendo....Ohooo....!!!
 
Last edited by a moderator:
I love meeting with people,kufurahi pamoja but am new hapa. Is this thread for members wa muda mrefu or hata kwa sisi wapya?
I think watu wakishazoeana jukwaani wanaweza kujikuta wanataka kukutana ila kama hamtopatana hapa hata kuarrange for seen each other ngumu.
Nipo dar, wilaya ya kinondoni.. Anyone from there?
 
Kino kubwa Mkuu,
Thread hii ni kwa wote hata wewe unaruhusiwa kuchangia mkuu.
Hii ndo Jf,Kisima cha Ma-Great Thinkers!!!
Swalama lakini ulikotoka Bankrupt?
 
Back
Top Bottom