mwenye masikio naasikie
Kipanya mwenyewe ndo huuita hivyo..upuuzi wake. Tafuta dvd yake yenye collection za cartoon inaitwa upuuzi wa Masoud Kipanya.sio upuuzi ni ukweli uliopo
Hiyo ni picha ianmaelezo mengi sana, so si upuzi ni ujembe mzito mkuu!
Kipanya mwenyewe ndo huuita hivyo..upuuzi wake. Tafuta dvd yake yenye collection za cartoon inaitwa upuuzi wa Masoud Kipanya.
ha ha ha.. Msg sent hiyo.. Big up masudi..
Mgomo huu lazima uitie kidole CCM.