Upuuzi wa Masoud Kipanya

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Huu ndio upuuzi wa leo kutoka kwa Masoud Kipanya fuatilia kwa makini halafu tafakari kwa kina ewe Mtanzania mwenzangu! Upuuzi.jpg
 
Kipanya mwenyewe ndo huuita hivyo..upuuzi wake. Tafuta dvd yake yenye collection za cartoon inaitwa upuuzi wa Masoud Kipanya.

Hivi mkuu hizi dvd zinapatikana wapi,niliona jana tu anazungumzia juu ya hiyo kitu upuuzi wa masoud kipanya,ila hakutaj maeneo husika zinapopatikana hizo dvd,nataka niburudike na kuelimika pia
 
magamba wameepa sana lakini kuna mwisho. Kosa kusema watatawala daima na milele. KufURU mbaya.
 
tehe! tehe! tehe! masoud bwana labda wewe watakuelewa hawa viziwi maana maandishi hawajui kusoma na picha je? pull up!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom