G_crisis
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 723
- 244
Tatizo la upungufu wa walimu hapa nchini hususani shule za serikali linapelekea wanafunzi wengi hasa watoto wa wakulima kutofanya vizuri katika masomo yao na kuishia kufeli vibaya.
Serikali imekuwa ikitumia gharama kubwa kuwasomesha walimu katika ngazi tofauti kwa kutumia kodi za Watanzania lakini Walimu hao baada ya kuhitimu wengi wao wanakimbilia taasisi binafsi na kughairi kuwajibika katika shule zetu hizi(kayumba)
Wewe kama GREAT THINKER unafikiri nini kifanyike ili tatizo hili lipate ufumbuzi???
Nawakilisha mada.