UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

Hivi mnaelewa madhila na taabu wanazopata wagonjwa wetu madaktari wanapogoma ilhali kazi yao hairuhusiwi kugoma?

Kuweni wakweli wa nafsi zenu kwanza. Yeyote aliyemtia adabu Ulimboka ni shujaa kwangu, kama ilivyo Ulimboka kuwashawishi madaktari (kinyume cha sheria) wagome.

Kwahiyo unataka waliochukia kitendo cha "aliyemtia adabu Ulimboka" nao wafanyeje?
 
Washerehekee!
Bidii unayofanya kwenye hii thread ingetumika kumshauri mwenyekiti wako wa CCM, kuboresha uchumi wa nchi ili huduma ziwe nzuri badala ya kila siku kwenda Brazil na Ghana kwenda kusomea upandaji wa nyanya na mananasi ungetusaidia sana

dhana ya kashfa unazozitoa kuhusu Dr Ulimboka inaonyesha ni defensive mechanisim ambayo waliokutuma wanadhani watapotosha ukweli kwamba Jakaya Kikwete hajiwezi kabisa hakuna alichoboresha zaidi ya kupokea suti kupora ardhi na kumwanzishia mwanaye Ridhiwani miradi ya kifedhuli

Kama idara nzima ya usalama wa taifa chini ya Zoka walishindwa kumuua ulimboka sasa ni vipi yeye atashindwa kurudia kuongoza harakati za kudai haki ya afya kwa kila mtanzania
Aibu aliyopata Kikwete Pinda,Zoka,Rama Hemedi ya kutumia njia za mauaji kunyamazisha wadai haki hawatapata kujisafisha kamwe ni doa watabaki nalo mpaka siku tutakapoweza kuwazika kwenye makaburi marefu ya futi 1000

Kiburi alichonacho kikwete cha kutumia mahakama usalama wa taifa polisi kunyima wananchi haki ya afya madhara yake ni makubwa ambayo wewe kwa kushinda kwenye jamvi hili na kumdhihaki Dr Ulimboka na kumisolate kutoka kwenye kundi la madaktari halitakusaidia wala mwenyekiti wako wa CCM

Haya sasa muueni tena manake munajisifu eti alifanyiwa mbaya , munadhani sifa za akina hemdi abeid na Rama kuwafanyia wenzao mbaya zitapita tuu historia imeandikwa kwamba tuna usalama wa taifa mafirauni wanaofanyia wenzao mbaya halafu wanakuja kwenye mitandao na feki ID kujisifu historia hii haitapita kamwe , yatawarudi ipo siku tuu,na Mwenyezi Mungu hataniwi wala hadhihakiwi ulimuona kwenye vyombo vyote vya habari ni mzima wa afya
 
Kuna wakati wowote Tanzania iliwahi kuwa na uchumi mzuri na unaopaa zaidi ya sasa?
 
Bidii unayofanya kwenye hii thread ingetumika kumshauri mwenyekiti wako wa CCM, kuboresha uchumi wa nchi ili huduma ziwe nzuri badala ya kila siku kwenda Brazil na Ghana kwenda kusomea upandaji wa nyanya na mananasi ungetusaidia sana

dhana ya kashfa unazozitoa kuhusu Dr Ulimboka inaonyesha ni defensive mechanisim ambayo waliokutuma wanadhani watapotosha ukweli kwamba Jakaya Kikwete hajiwezi kabisa hakuna alichoboresha zaidi ya kupokea suti kupora ardhi na kumwanzishia mwanaye Ridhiwani miradi ya kifedhuli.........
Pole sana. Achana na huyu mtu, unapoteza muda wako. akili yake anaijua mwenyewe. Mungu yupo atamfundisha adabu
 
Hakika Mungu amejibu maombi ya wengi wa watanzania tulioomba kwa ajili ya urejeshwaji wa afya ya Dr Ulimboka. Jina la Bwana litukuzwe. Bado ninaomba nakuamini kuwa Ulimboka atawasamehe waliojaribu kumuua lakini ni lazima wakabiliane na mkono wa sheria na adhabu stahiki kama matokeo ya walichokifanya.
 
Kwahiyo unataka waliochukia kitendo cha "aliyemtia adabu Ulimboka" nao wafanyeje?
Mkuu hukuhitaji kumjibu huyo mpuuzi wa desturi. Anashabikia ule upumbavu kwamba Dr alipigwa na raia waliofiwa!! Akili ya wanyama wadogo kuliko wote duniani!!
Tume huru tu ndiyo itakayotengue kitendawili na Dr yupo kutoa ushahidi.
 
Kweli Mungu Mkubwa. Aibu yao kwani wamezoea kufanya uhayawani sasa wamejulikana.Wataje. Ulimboka sema sema usiogope sema sisi Vijana hatuogopi Mafisadi sema.
 
Namshauri dr ulimboka na wazazi wake,atulie,aendelee kupigania afya yake.hakuna sababu ya msingi ya kuanzisha tena mgogoro na serikali,mengi yameshasemwa na wengi wameshasemwa.sasa ni zamu ya busara kuchukua nafasi yake
 
mungu ni mwema sana.nampa pole ulimboka,nawapa pole wagonjwa waliopata shida kwa kukosa huduma wakati wa mgomo pamoja na kuombea pepo ya milele wale waliopoteza maisha wakati huo.aaaimen.
 
Back
Top Bottom