UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

Kuna mazingira mazuri Hospitali zetu zaidi ya wakati huu wa Kikwete? lini?
Kama kawaida JK ni mwislamu mwenzetu tusimuangushe, ila umesahau na kipindi cha Mwinyi mazingira yalikuwa mazuri zaidi, ni hawa Wakristo ndio wanaharibu.
 
Na Ulimboka ni Mkristo mwenzetu lazima tumtetee hata kama alikwenda ku-negotiate mgomo saa tano usiku bar!
 
Ulitaka ukamaliziwe ikulu,sivyo?

Bado hujajibu swali. Gumu sana au haiingii akilini? kuwa mkweli wa nafsi yako;

"The truth is always there. The choice is yours, whether to face it or not".
 
ndivyo alivyoelekezwa abedi wa ikulu!
Hata mikataba ya madini husainiwa bar!
Anajifanya hajui kama Karamagi alibeba mihuri hapa kwenda nayo Uingereza na hajui siku hizi Mahakama za CCM zinaendesha kesi hata Jumapili saa 8 usiku.
 
tatizo lao wanahisi watanzania ni wasahaulifu.
 
"Ukikosa afya ndio utajuwa nini maana ya afya", hilo darsa Ulimboka kisha jifunza!
Zomba,
Nakupa ushauri wa bure. Ningekuwa ni wewe ningejiondoa kabisa katika huu mjadala. Umeshachafua hewa kwa kusifia kichapo alichokipata Ulimboka. Unaonekana kushabikia Ikulu kuwa na kikosi cha wauaji au elimination squad. You are not speaking here with an open mind but a biased one.
 
Halafu eti mtu kama huyu anajidanganya eti anafunga Ramadhani kumbe amebadili tu ratiba za kula badaya ya kula mchana huyu atakuwa anakula usiku, tena nakushauli hapo kama una pilau kula kabla ya kulala.

Hakuna funga ya mnafki yeyote inayopokelewa na ALLAH, inshort unajitesa bure tu kwa kushinda na njaa, huna funga yoyote.
 
Ulimaanisha "nakushauri"? au?
 
Zomba,
Nakupa ushauri wa bure. Ningekuwa ni wewe ningejiondoa kabisa katika huu mjadala. Umeshachafua hewa kwa kusifia kichapo alichokipata Ulimboka. Unaonekana kushabikia Ikulu kuwa na kikosi cha wauaji au elimination squad. You are not speaking here with an open mind but a biased one.

Hivi mnaelewa madhila na taabu wanazopata wagonjwa wetu madaktari wanapogoma ilhali kazi yao hairuhusiwi kugoma?

Kuweni wakweli wa nafsi zenu kwanza. Yeyote aliyemtia adabu Ulimboka ni shujaa kwangu, kama ilivyo Ulimboka kuwashawishi madaktari (kinyume cha sheria) wagome.
 
Back
Top Bottom