UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
kwa wale tulioko maeneo ya airport tuwekeeni updates za mapokezi ya dr ulimboka.
kwa wale mlioko ndani kabisa ya vyombo vya usalama pia msisite kutupa updates za hali ya mambo.

UPDATES:dr ulimboka anatarajiwa kutua saa nane mchana huu
Dr Ulimboka ameshukuru Mungu wananchi,wanaharakati na madaktari.
Amesisitiza kwa sasa yuko fit na anaweza kufanya chochote!

Dk Ulimboka (aliyeshika maua) alivyokuwa akiwasili ktk uwanja wa ndege wa dsm akitokea S.A, hakika afya yake imeimarika sasa tunangoja watu kuumbuka na hasa gwaride la utambuzi kwa yule mjamaa wa kova


523136_486603471369036_1176366324_n.jpg
 
duuuh mkuu huyo dk anarudi leo... daah Kweli Mungu mkubwa... najaribu kufikiri kwa upana zaidi.. mizwengwe mipya inatakavyowekwa na usalama wake,,,,, mmmh Mungu aepushe mbali maana hii serikali ilidhamiria afe sasa amerudi tena\? ooh hatua za kumlinda kila sekunde zinatakia mara moja.. otherwise watamuua talatibu... daah MUNGU NI MWEMA...

Sisiemu inazidi kujipandikizia chuki tu kwa raia wake, anzia walimu, madaktari, viajana wanaomaliza chuo sasa takrtibani 150,000 kila mwaka hawana ajira, wakulima kama wa pamba hawana hamu coz ya bei... huduma za jamiii ni rushwa tupu, WAFANYAKAZI wananaumia kwa sera mbofu za SSRA...

Daaah Mungu wangu,,,, sijui 2015 itakuwaje?
 
Piga press conference hapo hapo airport ,spill the beans. Strike while iron is hot.
 
Karibu Kamanda Ulimboka na Mungu aendelee kuimarisha afya yako. Wameaibika!!! Na ole wao wakuguse tena!!! Medical proffession needs care and attention. Madaktari wameteseka kwa kiasi kikubwa sana, wanasoma theory, practically hospital hazina vifaa hivyo akili zao zinadumaa.

Wataalam tunao, nchi za wenzetu hadi Africa ya Kusini mnakokimbilia mambo yakiwa magumu wapo madaktari watanzania kule!!! Again, welcome. Na tutafurahi vyombo vyote vya habari leo vitoe habari za ujio wako. Mrs Ulimboka and the kids, hongereni na Mungu awalinde ili baba yenu awatunze mpate maisha.

Why kwa uzembe na udhaifu wa kitaifa mnataka kuwafanya watoto wa wenzenu yatima wakati vituo vya yatima Tanzania idara ya ustawi wa jamii haivipi huduma stahiki? Acheni mbofu mbofu na udhaifu.
 
karibu bongo
issue yako ipo mahakamani na please hutakiwi kusema chochote kile kwa kesi iliyopo mahakamani maana kusema tu ni kuingilia mhimili wa mahakama
 
Hii movie naona nitamu ngoja nisogeze kiti!!Karibu na screen maana sijui press conf.watamwambia asitaje anaowajua??
 
Back
Top Bottom