Upatikanaji wa LG Smartphone

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Kwa kweli mim ni mdau mkubwa sana wa hii simu ambayo inaongelewa sana na inatajwa kuwa ni kati ya simu bora za mwaka huu lakin nashangaa upatikanaj wake hapa bongo umekua ni mgumu sana kama kuna mtu yeyote anafahamu wapi znakopatikana anipe msaada maana nmezunguka sana kuitafuta bila mafanikio
 
Yeah mkuu, tena worse sasa ni kama ikipata shida!! Nina LG Optimus G toleo la nyuma ya G2 indeed hizi simu ni beasts. Naweza sema ndo best smart4ne out there (to hell with samsung),nexus labda i've nt used em so cant say 4 sure. Ila ilidondoka mpaka leo cjapata kioo chake, nataka ki ship ila ni 200K. Ntatoa tu, its worth it
 
Duu kwa hyo inahitaj matunzo ili usipate shida kutafuta spea zake au sio Good Guy
 
Last edited by a moderator:
Dah sema hicho kioo ungejaribu kukitafuta ebay ungekipata tu mzaz @ Good Guy
 
Back
Top Bottom