Uozo ndani ya Jeshi la Polisi... Ushahidi huu hapa

Hivi unadhana balaa la wenzetu wasomali waliofia mkoa 1 hapa majuz masterminds wa route na mode of transport ni kina nani!?

Wakubwa wa polisi wa mikoa ambao wanaagiza vijana wa chini waruhusu na hela wawapelekee watawapa commision,inaingia akilini kwel watoke namanga mpka tunduma ama kasumulu bila kushtukiwa!?

Nimeshawaona mahali, walikua na gari ndogo(noah) wako 10 gari ikapata ajali,wakakodisha gari ingine fasta kwa lak2 kwa umbali wa 30km na polisi walijua wakasubiri walipopata gari ingine ndio trafic akaenda,

Nguvu ya uma itawanyoosha tu sikumoja

Nawakilisha
 
yaani mie nawaogopa polisi kama bunduki zao - sijui nikipata shida nitakimbilia wapi???? Wengi wao sio watenda HAKI ... shame ..... shame ..... on them!!

Hebu bandikieni picha ya MSANGI tumjue wote jamani!!!!!!!!!!!
 
Mara kwa mara maaskari ambao wamepewa dhamana ya kuwalinda raia na mali zao wanatumia nafasi zao katika kufanya uhalifu. baadhi ya viongozi wa jeshi la polisi wanapewa taarifa lakini wanapotezea, hiyo inatufanya sisi wananchi tusiwe na imani na jeshi letu la polisi!

Hivi wale watu aliowataja Regnald Mengi tena kwa majina kwa kashfa za kutaka kumbambikiza mwanae madawa ya kulevya, wamechukuliwa hatua yeyote? kama hawajachukuliwa hatua maana yake hawana makosa je Mengi kwanini asichukuliwe hatau za kisheria kwa kuwasingizia polisi uongo?
 
Unahofu na aliye andika au Hofu yako ni huyu aliyepost hii nakala hapa! Next post ataituma akiwa mabwePande kama kutakua na Network.
 
Dawa yake ni m4c super solution ila tujiandae kwa mapambano mazito sana hawa majambazi hawatatoka ikulu bila kuua doct uli ni introduction ya wanachoweza kufanya ila uovyu daima huangusha watawala.
 
ukitka kujua watu wamechoka siku hizi wakikamata mwizi wanamuua kabisa juzi nimeshuhudia mwizi akiuawa mbele yakituo cha polic na polic wanaangalia mpaka akafa wakabeba maiti ,mwenyewe nimemkosakosa mwizi usiku wakuamkia jana nilikuwa nimpasuejambazi risasi ya kichwa ,maana namba zote za polic hazipatikani majambazi wameanza kubomoa,hao polic na mkuu wakituo aliposikia milio ya risasi ndio wanakuja taratibu too late. ningemuua huyo ashukuru mungu nikimkamata mwizi atachezea risasi tu ,hamna kusubiri polic wenyewe ndio wezi wakubwa kabisa sina imani nao.
 
Sijui usalama wetu watanzania uko wapi;kama maaskari wetu ndio majambazi tena!!!!
Kweli kwa kuzingatia utawala bora na kujijengea heshima ni vyema IGP na wakuu wengine wajiuzulu!!!
MUNGU ibariki TANZANIA
 
imagepng
imagepng
 
Natamani sana ningeiona barua hiyo kwanzia Page ya kwanza mpaka ya mwisho. Nimeipenda sana ila sijui ilipelekwa kwa nani!
 
Barua inaelezea historia ya uhalifu wa Kamanda Msangi kuwa hushirikiana na wahalifu waliokubuhu. Mfano mmoja akiwa Morogoro alikuwa na kikosi chake cha kuiba bidhaa kwenye malori ya mizigo. Kikosi hicho kilijulikana kama "SHUSHA SHUSHA" na aliripotiwa kwa Uongozi wa Jeshi la Polisi lakini cha ajabu hakuna hatua za kinidhamu juu yake zilizochukuliwa ila alipandishwa cheo kwa kuhamishiwa DSM. More Info: Baba na mama yake walikuwa nao Mapolisi, na Kamanda Chagonja wanatoka wote Usangi. Endelee .........

Baba yake ni yule Marehemu wa Kibaha?
 
HUYU MSANGI SI NDIO ALIYEIBA SIMU NA WALLET YA ULlMBOKA???

Kama ulikuwepo, ndio huyohuyo. Jambazi na muuaji Namba 1. Angoje moto wake hapa duniani na kesho akiandamana na shetani kwenda kwenye bwawa la moto.
 
Asp Ahmed Msangi tena? Kwa ulimboka anatajwa yeye!!
Na raisi wetu naye anahutubia taifa kuwa serikali haihusiki na uvumi unaoendelea kuwa ime mdhuru Ulimboka
kwahiyo hadi raisi naye huwa anasikiliza uvumi?
 
Asp Ahmed Msangi tena? Kwa ulimboka anatajwa yeye!!
Na raisi wetu naye anahutubia taifa kuwa serikali haihusiki na uvumi unaoendelea kuwa ime mdhuru Ulimboka
kwahiyo hadi raisi naye huwa anasikiliza uvumi?

tunataka tumthibitishie raisi kuwa naye anatetea majambazi
 
haya mambo si tanzania tu,nenda kenya kuna paluwanja inamaliza watu,nenda mexico ndio kabisa hakushikiki

hata tupige kelele vipi hatuwezi badiri mfumo na kelele zikizidi yatakutokea ya Jery muro na rushwa ya uongo

tuwaache tu,umri wa kustahafu utafika,watakaa pembeni na kujisifia kwa kazi nzuri waliyofanya.
 
Back
Top Bottom