LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,721
- 13,959
Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.
Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi. Tume sikia watu kuumizwa na polisi, kesi za kubambika n.k
Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.
Hatuna tena imani na Polisi.
Tumuulize Mh, Rais ile ripoti ya Haki jinai, iliyo tumia pesa zetu nyingi na kupokelewa kwa mbwembwe ame itupa wapi?