Uonevu kwenye kuchagua maudhui katika zoezi la Sensa

Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
930
1,408
Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa, inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo.

Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.
 
We unataka hela zotee ule wewe?
Halafu punguza roho mbaya.

Nina mashakaji wangu tupo ofisi moja....
1. Kachaguliwa kwenda semina mkoani ya sensa siku 22 karudi na Mil 2.2
2. Halafu kesho anaanza kufundisha makarani ataondoka na Mil 2.2 tenaaa
3. Halafu jana alilipwa night mbili kwenda kuandaa mazingira ya Nanenane..!!!

Punguza kubana.
Waache watu wale.
Kama imekupita shukuru Mungu.

Wakati mwengine utakua wako.

Mi mshkaji nambariki tu maana ni wakati wake ila kulalamika fursa walizopata wenzio kazini sio poa ni dalili za roho mbaya.

#YNWA
 
Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa,inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo. Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.
Ulikata wenzio na wewe umekatwa.
 
Ticha mkuu kalisha matako. Inaonekana ww ni mnonko sana hd jf unajitambulisha ni adimin. Ukome.

Wapongeze waliopata, au 200 haikutoshi?
 
Mkuu bila shaka wapo ambo uliwakata na bila sababu za msingi siyo?.
Fala Sana huyo boss Mimi mmojawapo kanikata 😀😀halafu aliniuliza swali babaifu...hakujua mwenzake Nina biznez hata akinikata poa tu......
 
Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa,inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo. Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.
Walimu walalamishi mno.
 
Sawaa tuu,mlijifanya kujuwaa Sana.
 
dah hii tz hii sihami
 
Hivi kwani mpunga ni shing ngapi!? Maana malalamiko ni mengi mnoo!?
 
Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa, inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo.

Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.
Walimu walitiliwa shaka kuhujumu zoezi baada ya kununia nyongeza ya mishahara.

Wakaona Bora mission town wa uvccm watatii.
 
Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa, inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo.

Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.
Ahahahahah! Labda uulizaji wako maswali ya usaili uliwatia mashaka wakubwa wako! Ahahahahah!
 
Back
Top Bottom