mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,576
- 9,816
Malipo kwa ajili ya makarani, watu wa Tehama na maudhui yalikadiriwa na kuainishwa yawe yamekamilika ndani siku 10. Yaani siku 5 za semina na siku 5 nyingine za kufanya kazi.
Lakini tumeshuhudia kuwa kyongezeka kwa siku za semina hali kadhalika siku za kuhesabu watu na makazi hadi kufikia siku 10. Hali hii imepelekea kuwa na malalamiko juu ya kile hasa wahusika walichopaswa kulipwa kihalali.
Malipo pendekezwa kwa siku yalikwisha kutolewa na serikali kabla hata zoezi husika. Je! Malalamiko yaliyopo juu posho ndogo walizolipwa wahusika yana ukweli ndani yake?
Ebu kwa pamoja tupitie kiambatanishi kilichopo katika uzi huu ili tuweze kutoa ushauri mzuri kwa wahusika.