Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Asante kwa nafasi uliyonipa. Ingawa na mimi nahitaji kujifunza kutoka kwako pia.
Hivi wale binadamu wa kwanza walifanya wapi majaribio?
Na kama kweli mnapendana na mtu kwa nini isiwe vyema kuwaona wataalamu wa afya kupima hicho unachotaka kupima.
Na kuhusu tabia, mtu anaweza kujifanya ana tabia fulani ili tu atimize lengo lake. Ukiwa na roho ya kutulia, uvumilivu,kusubiri na kudadisi utajua tu. Maana matunda ya mti hayawezi kujificha. Mchungwa utazaa machungwa, na mpapai utazaa mapapai tu. Kama ilivyo kwa baadhi ya miti kuchukua muda mrefu kutoa matunda, ndivyo ilivyo kwa baadhi ya binadamu, tabia zao utazijua baada ya muda...ndivyo ninavyoamini