Unyumba kabla ya nyumba

Kama unamwamini Mungu, na unamcha kweli, basi kwako wewe unyumba kabla ya ndoa ni dhambi. Kama humwamini Mungu na hunampango naye basi siwezi kusema lolote kwani huo ni uamuzi wako. Lakini wanao sema kutest, nina wasiwasi nao kama wanacho kisema wanakijua. Hii itakuwa ni sodoma na Ghomora au ni Nuhu wa pili amerudi. Sishangai, ila mimi binafsi hata ukinishawishi unitest, utaambulia kibuti tuu. kwani utakuwa tayari ulisha test wengi.
 
duh bado hatujaona tutaona mpaka ya kupofua macho sijui tunawaza nini wallah!
 
Tofautisheni ndoa na fomalities za ndoa, hata kama mna timu ya futbolli kama hamjaweka nadhiri ya kuishi pamoja nyinyi hmjafunga ndoa, na hata kama hamjachakachuana au shake well before use haijapita mkafungishwa ndoa lakini kila mmja anamlengo yange mbele za Mungu hiyo si ndoa , Mungu anaibariki ndoa iliyohalali ikiwa mioyo ya wawili hao imekubaliana kabisa, so kama wamechakachuana au la iyo shauri yako, kama huwezi kuchakachua subiri muda wako ukifika upate mwenza, lakini atakuwa kachakachuliwa na wenzio................. kagabaho na............................
 
Ndoa ni makubaliano bana...ndio maana kuna za Church, Masjid, Kiwilayani etc.. wapo wanaoabudu mila, ukishatoa mahari huyo ni mkeo kihalali.. na kumbuka si wote wasemao bwana watauona ufalme wa mungu, wapo hata ambao hawajao wao wanachovya tuu, wapo wanaoolewa na kuachika, wapo wanaoa na kutoka nje ya ndoa.. so watu kuishi pamoja ni makubaliano yao cha muhimu upendo na imani tu..
 
ni mmomonyoko wa maadili.....na watu kukosa imani.....excuse haiwezi kuwa eti usije uziwa mbuzi kwa gunia,kwani hao wenye kasoro wao hawatakiwi kupendwa? unachopenda kwa mtu ni ku... au mb.. peke yake? tuseme tu tamaa ndo zinafanya watu kufanya hivyo na kupungua kwa hofu ya Mungu na haya mambo ya kuiga.........sijui ndo maendeleo.......:wink2:
 
Jamani! Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kwa mwanamume na mwanamke(ambao wanategemea kuoana) kuishi pamoja kama mke na mume. Si ajabu ukakuta mwanamke anakaa mkoa X lakini kila weekend au likizo anaenda mkoa Y eti kumsalimia"mchumba wake" ambaye kwa muktadha wa post hii na maadili ya jamii zetu na imani zetu za kidini huyo si mchumba bali ni MZINZI MWENZAKE au HAWARA YAKE. Na mbaya zaidi unakuta wanaishi maisha ya uzinifu kwa muda mrefu then wanaamua eti kubariki ndoa.

Viongozi wetu wa dini nao wanakubali kufungisha ndoa za wazinzi hawa bila aibu. Na si ajabu siku hizi kuona wazinzi wawili(mwanamke na mwanamume) wakiwa wameongozana wakienda ktk ibada iwe kanisani au msikitini. Sijui wanaenda kuabudu au kumkejeli muumba wao.

Kama wewe halijakutokea inawezekana umeliona kwa rafiki, ndugu au hata kwa adui yako.

NINI MAONI YAKO: NI KUMONG'ONYOKA KWA MAADILI AU NI MAENDELEO?
Naomba nikukatishe tamaa kwamba unajisumbua kufikiria suala hili, ukiwaza vizuri utanielewa.
 
ni mmomonyoko wa maadili.....na watu kukosa imani.....excuse haiwezi kuwa eti usije uziwa mbuzi kwa gunia,kwani hao wenye kasoro wao hawatakiwi kupendwa? unachopenda kwa mtu ni ku... au mb.. peke yake? tuseme tu tamaa ndo zinafanya watu kufanya hivyo na kupungua kwa hofu ya Mungu na haya mambo ya kuiga.........sijui ndo maendeleo.......:wink2:

Dearest kuna tofauti kati ya kutembea na mtu na kuishi na mtu!!!Kutembea na mtu inaweza kua based on sex alone....ila linapokuja swala la kuishi na mtu nyumba moja ipo kwenye kusomana tabia zaidi!!!Unapo kua karibu na mtu unapata kujua mazuri na mabaya yake bila kuuliza na hiyo inamsaidia mtu kuamua kama atawezana nayo maisha yake yote au la!!!Ni bora mtu anaeishi na mtu kabla ya ndoa baadae wakaishi vizuri kuliko wanaojifanya watakatifu alafu baadae wanaishia kutoka kwenye ndoa zao kwa visingizio vya sikujua hichi...sikujua kile...yeye yuko hivi na mimi nilitaka vile!!!!
 
Hahahahahahaha! Michelle sijaelewa hapo kwenye rangi unasema nini....Mwaka 47 hili la kutest kabla ya ndoa lisingekubalika kabisa lakini 2011 sahau kabisa kwa mwanaume kuamua kuoa kabla ya kunanihii.
 
Kwenye kusomana mkifikisha watoto wawili bado mtakuwa na uhuru wa kila mmoja wenu akaoe/kuolewa na ampendaye? Wakati huo mnaishi pamoja wazazi, ndugu na jamaa wanawachuliwa kama mume na mke au mtu na mchumba wake?

Nadhani elimu zetu zinatupoteza kwani kijana (mwanamke) mwenye Degree yake anajiona kuwa ana uhuru kamili na hivyo yale maswala ya kuposwa hawaendekezi kama ilivyokuwa enzi za wazazi wetu. Matoke yake ndio hayo "Come & Stay". Kijana angeenda kumposa binti baada ya wazazi na jamaa kumtambua lazima wangeulizwa wana mpango gani kuhusu ndoa na huu uchafu usingekuwepo. Kule vijijini wanafanya hizi "Come & Stay" mtu na mchumba wake ili kupunguza gharama za harusi.
 
mmmhhh my dear Lizzy,utakatifu haupatikani kwa kutolala na mwanaume tu,hakuna kati yetu aliye mtakatifu.....ila jamani kuishi na mwanaume kabla ya ndoa,mimi hainingii akilini? unajua waweza kaa na mwanaume hata miaka mitano lakini usimjue au hata yeye asikujue vizuri,baada ya kiapo ndo mkajuana rangi zenu zilizojificha?tusijipe nguvu tusiokuwa nazo,kwamba ni ili tuwafahamu wenzi wetu vizuri,hilo weka mikononi mwa Mungu tu kama mlipangwa kuwa pamoja mtakuwa na hata kufahamiana na kuishi vizuri ndani ya ndoa......
 
nipigie simu nikueleweshe basi....una umri gani kwanza,manake kuna tabia ya watoto kuvamia hii site....l.o.l
 
mmmhhh my dear Lizzy,utakatifu haupatikani kwa kutolala na mwanaume tu,hakuna kati yetu aliye mtakatifu.....ila jamani kuishi na mwanaume kabla ya ndoa,mimi hainingii akilini? unajua waweza kaa na mwanaume hata miaka mitano lakini usimjue au hata yeye asikujue vizuri,baada ya kiapo ndo mkajuana rangi zenu zilizojificha?tusijipe nguvu tusiokuwa nazo,kwamba ni ili tuwafahamu wenzi wetu vizuri,hilo weka mikononi mwa Mungu tu kama mlipangwa kuwa pamoja mtakuwa na hata kufahamiana na kuishi vizuri ndani ya ndoa......

Sasa dearest embu niambie bora yupi kati ya hawa wawili.......ANAEKUA NA MWANAUME/MWANAMKE just for the sake of being with someone au ANAEISHI NA MWANAMKE/MWANAUME kwa nia yakutaka kumjua vizuri ili mambo yakienda sawa waoane????Hapo weka uwezekano na kushindwa kutimiza malengo ya kujuana pembeni kwasababu sidhani kama kuna mtu anafanya kitu huku akiwa anawaza/jua kabisa hatafanikiwa!!!!

Alafu swala la kuuziwa mbuzi kwenye gunia hapa halielemei kwa wale wanaowekana ndani tu!!!Hata wenye maboyfriend/girlfriend ambao kila mmoja anakaa kwakwe ila wanalala pamoja habari ni ile ile!!!Mtu pekee anaeweza kusema hii sio sawa ni yule ambae hajawahi kushirikiana kimwili na mtu mwingine mpaka anakapo oa/olewa......kwa waliowahi wote wanadanganya nafsi zao wenyewe!!!!
 
DA hapo nakuunga mkono 100%, wewe utaoa vipi kabla ya ku-test kitu ili ujue unachukua kitu cha aina gani ili kama hakilipi ule kona mapema kabisa!!!

Eti una-test ili usiuziwe mbuzi ktk gunia. Je, utajisikia vipi pindi dada yako aki-testiwa?
 
Kwenye kusomana mkifikisha watoto wawili bado mtakuwa na uhuru wa kila mmoja wenu akaoe/kuolewa na ampendaye? Wakati huo mnaishi pamoja wazazi, ndugu na jamaa wanawachuliwa kama mume na mke au mtu na mchumba wake?

Nadhani elimu zetu zinatupoteza kwani kijana (mwanamke) mwenye Degree yake anajiona kuwa ana uhuru kamili na hivyo yale maswala ya kuposwa hawaendekezi kama ilivyokuwa enzi za wazazi wetu. Matoke yake ndio hayo "Come & Stay". Kijana angeenda kumposa binti baada ya wazazi na jamaa kumtambua lazima wangeulizwa wana mpango gani kuhusu ndoa na huu uchafu usingekuwepo. Kule vijijini wanafanya hizi "Come & Stay" mtu na mchumba wake ili kupunguza gharama za harusi.

Hayo yote ni maamuzi ya watu!!!Na ndoa vile vile inaanzia kwenye mioyo yao....sisi wengine ni watazamaji tu!!!
Kuna watu wanaenda mbele ya wachungaji na masheikh huku roho zao zimejaa unafiki.Bora wanaoishi bila ushahidi wa mwanadamu ila ni wakweli kwa wao wenyewe na Mungu wao kuliko wanaoonekana wakweli machoni pa watu ila sio chochote!!!!
 
Sasa dearest embu niambie bora yupi kati ya hawa wawili.......ANAEKUA NA MWANAUME/MWANAMKE just for the sake of being with someone au ANAEISHI NA MWANAMKE/MWANAUME kwa nia yakutaka kumjua vizuri ili mambo yakienda sawa waoane????Hapo weka uwezekano na kushindwa kutimiza malengo ya kujuana pembeni kwasababu sidhani kama kuna mtu anafanya kitu huku akiwa anawaza/jua kabisa hatafanikiwa!!!!

Alafu swala la kuuziwa mbuzi kwenye gunia hapa halielemei kwa wale wanaowekana ndani tu!!!Hata wenye maboyfriend/girlfriend ambao kila mmoja anakaa kwakwe ila wanalala pamoja habari ni ile ile!!!Mtu pekee anaeweza kusema hii sio sawa ni yule ambae hajawahi kushirikiana kimwili na mtu mwingine mpaka anakapo oa/olewa......kwa waliowahi wote wanadanganya nafsi zao wenyewe!!!!

ooohh dearest,kweli unaamini kuishi na mtu kunakufanya umjue vizuri? kama nina lengo langu la kutaka kuolewa nita-pretend hadi niolewe...naamini uhusinao wa kawaida bila kuishi pamoja unaweza kusaidia kumuelewa mwenzi wako vizuri sana....
 
mimi na dhani kwa kipindi hiki ni muhimu sana kabla hamjaoana mchunguzane vya kutosha mkishaona mmerdhika hapo sasa ruksa wapendwa wangu
 
Back
Top Bottom