Unyumba kabla ya nyumba

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Jamani! Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kwa mwanamume na mwanamke(ambao wanategemea kuoana) kuishi pamoja kama mke na mume. Si ajabu ukakuta mwanamke anakaa mkoa X lakini kila weekend au likizo anaenda mkoa Y eti kumsalimia"mchumba wake" ambaye kwa muktadha wa post hii na maadili ya jamii zetu na imani zetu za kidini huyo si mchumba bali ni MZINZI MWENZAKE au HAWARA YAKE. Na mbaya zaidi unakuta wanaishi maisha ya uzinifu kwa muda mrefu then wanaamua eti kubariki ndoa.

Viongozi wetu wa dini nao wanakubali kufungisha ndoa za wazinzi hawa bila aibu. Na si ajabu siku hizi kuona wazinzi wawili(mwanamke na mwanamume) wakiwa wameongozana wakienda ktk ibada iwe kanisani au msikitini. Sijui wanaenda kuabudu au kumkejeli muumba wao.

Kama wewe halijakutokea inawezekana umeliona kwa rafiki, ndugu au hata kwa adui yako.

NINI MAONI YAKO: NI KUMONG'ONYOKA KWA MAADILI AU NI MAENDELEO?
 
Mambo yamebadilika siku hizi lazima utesti kwanza kama kitu iko fresh ndo unaingia mkataba kama hapana unakula kona "Usijeukauziwa mbuzi kwenye gunia" Mawazo yangu lakini
 
Ni muhimu kumjua mtu kabla hamjaoana!Ndo maana watu wanaobebana tu baadae kila mmoja anaanza sikujua yuko hivi..ningejua kumbe yuko vile!Kidini sio sawa ila katika ulimwengu wa leo ni muhimu sana!
 
Na hapo madhabahuni unakuta Mchungaji, Padre au Sheikh nae kalala na goma...... ni ni full vuru vuru....... nami nashindwa kuelewa sijui ni kumong'onyoka kwa maadili au ni maendeleo katika hizi imani zetu.....
 
Mambo yamebadilika siku hizi lazima utesti kwanza kama kitu iko fresh ndo unaingia mkataba kama hapana unakula kona "Usijeukauziwa mbuzi kwenye gunia" Mawazo yangu lakini

DA hapo nakuunga mkono 100%, wewe utaoa vipi kabla ya ku-test kitu ili ujue unachukua kitu cha aina gani ili kama hakilipi ule kona mapema kabisa!!!
 
Ndo uonje mara kumi?Tatizo ni kwamba walioweng wana2mia njia hiyo kuwaharibu wasichana hawana nia
 
DA hapo nakuunga mkono 100%, wewe utaoa vipi kabla ya ku-test kitu ili ujue unachukua kitu cha aina gani ili kama hakilipi ule kona mapema kabisa!!!

na utaolewa vipi bila kutest? hiyo ni two ways! ha haaaaaaaaaaaa
 
Ni muhimu kumjua mtu kabla hamjaoana!Ndo maana watu wanaobebana tu baadae kila mmoja anaanza sikujua yuko hivi..ningejua kumbe yuko vile!Kidini sio sawa ila katika ulimwengu wa leo ni muhimu sana!

Umenena kwenye hizo rangi.
 
Ni nani amewaloga nyie wanetu? Msile mazao yangali shambani. Nawakemea wote wanaofanya hivyo washindwe na walegee, maana mnamomg'onyoa maadili.
 
Jamani! Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kwa mwanamume na mwanamke(ambao wanategemea kuoana) kuishi pamoja kama mke na mume. Si ajabu ukakuta mwanamke anakaa mkoa X lakini kila weekend au likizo anaenda mkoa Y eti kumsalimia"mchumba wake" ambaye kwa muktadha wa post hii na maadili ya jamii zetu na imani zetu za kidini huyo si mchumba bali ni MZINZI MWENZAKE au HAWARA YAKE. Na mbaya zaidi unakuta wanaishi maisha ya uzinifu kwa muda mrefu then wanaamua eti kubariki ndoa.

Viongozi wetu wa dini nao wanakubali kufungisha ndoa za wazinzi hawa bila aibu. Na si ajabu siku hizi kuona wazinzi wawili(mwanamke na mwanamume) wakiwa wameongozana wakienda ktk ibada iwe kanisani au msikitini. Sijui wanaenda kuabudu au kumkejeli muumba wao.

Kama wewe halijakutokea inawezekana umeliona kwa rafiki, ndugu au hata kwa adui yako.

NINI MAONI YAKO: NI KUMONG'ONYOKA KWA MAADILI AU NI MAENDELEO?

Mambo yamebadilika siku hizi lazima utesti kwanza kama kitu iko fresh ndo unaingia mkataba kama hapana unakula kona "Usijeukauziwa mbuzi kwenye gunia" Mawazo yangu lakini

Ni muhimu kumjua mtu kabla hamjaoana!Ndo maana watu wanaobebana tu baadae kila mmoja anaanza sikujua yuko hivi..ningejua kumbe yuko vile!Kidini sio sawa ila katika ulimwengu wa leo ni muhimu sana!

BL hata mboga lazima uonje chumvi kama imekolea

mmh :A S-coffee:
 
Kasisi au mchungaji hana haki ya kukataa kufungisha ndoa ati kwa vile ni wazinzi, yeye ni nani hata awahukumu wengine? mwenye kutoa hukumu ni Mungu pekee, wengine wanachopaswa kufanya ni kuwaombea tu! na sio hao tu bali kuombea kwa ajili yetu wote wakosaji, kwani dhambi ni uzinzi tu? dhambi zote mbele ya Mungu ni sawa, hata wewe kwa kuwafikiria vibaya wenzako umetenda dhambi ambayo hukumu yake kama usipotubu kweli ni mauti sawa ni na mzinzi asiyetubu! "KWANI BWANA ANGEHESABU MABAYA NI NANI ANGESIMAMA?. Cha muhimu tuombeane tu na sio kuhukumu!
 
  • Jamani! Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kwa mwanamume na mwanamke(ambao wanategemea kuoana) kuishi pamoja kama mke na mume. Si ajabu ukakuta mwanamke anakaa mkoa X lakini kila weekend au likizo anaenda mkoa Y eti kumsalimia"mchumba wake" ambaye kwa muktadha wa post hii na maadili ya jamii zetu na imani zetu za kidini huyo si mchumba bali ni MZINZI MWENZAKE au HAWARA YAKE. Na mbaya zaidi unakuta wanaishi maisha ya uzinifu kwa muda mrefu then wanaamua eti kubariki ndoa.

    Viongozi wetu wa dini nao wanakubali kufungisha ndoa za wazinzi hawa bila aibu. Na si ajabu siku hizi kuona wazinzi wawili(mwanamke na mwanamume) wakiwa wameongozana wakienda ktk ibada iwe kanisani au msikitini. Sijui wanaenda kuabudu au kumkejeli muumba wao.

    Kama wewe halijakutokea inawezekana umeliona kwa rafiki, ndugu au hata kwa adui yako.

    NINI MAONI YAKO: NI KUMONG'ONYOKA KWA MAADILI AU NI MAENDELEO?

    Kuboresha mada yako weka utangulizi utakaelezea jinsi wewe unavyoifahamu "Ndoa". Inawezekana wewe tafsiri ya ndoa ni kuwa na shahada ya ndoa, wengine wakatambua ndoa kama makubaliano ya watu wawili .....si lazima kuwepo shahidi
 
Vyote kwa pamoja wewe unatest mie natest (nani kasema wanawake hawatest) Na haya matangazo ya kuongeza nguvu za kiume yalivyomengi siku hizi lazima utest je kitu imetulia au ndo mpaka ikaongeze hiyo dawa

mmmmmmmmmmmm mnajidai na nyie mnajua kutest, sisi kama nguvu zimepungua tutaongeza dawa na njieje au ndio mambo yale ya kichina! all in all kutest muhimu
 
Mimi hujiuliza wale wanaofungishwa ndoa, mtu kitumbo ndiii, ama jemba na mama wafungishwa ndoa na already wana timu ya futiboli, inakuwa nini????, hawo watoto maskini ya mungu, wanakuwa watoto wa nje ya ndoa????????
 
Vyote kwa pamoja wewe unatest mie natest (nani kasema wanawake hawatest) Na haya matangazo ya kuongeza nguvu za kiume yalivyomengi siku hizi lazima utest je kitu imetulia au ndo mpaka ikaongeze hiyo dawa

si ndo hapo DA? unaweza ukaingia sehemu ikakulazimu uwe unatoka nje kila siku. kwa nini utende dhambi? test kwanza
 
Back
Top Bottom