Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

Mimi binafsi sioni kama kuna shida..na Mara nyingi sana kumnyonyesha mtoto hadharani kumekuwa ni tulizo kwa mtoto hasa anapolia...ila zaidi sana nimependa hiyo picha ya kwanza ya huyo dada muhitimu na jinsi mtoto ana(po)vyonyonya..yani nimependa tu!! na hilo joho limempendeza sana..halafu anajua kutabasamu.
 
upload_2016-5-20_10-8-16.png

Watu wengine bana kama si matatizo ni nini sasa, yaani kitendo cha mama kutoa ziwa kumnyonyesha dogo wewe eti unalitamani khaa!! kama siyo ugonjwa basi una matatizo ya kisaikologia, waone madaktari haraka. Na nyie kina dada eti kutoa ziwa kumnyonyesha mtoto analia eti anawadhalilisha aisee!!!

Kina Mama, kina dada mtoto akililia nyonyo we mpe popote pale ulipo!! Tena ikiweziekana yatoe yote mawili ili dogo awe anachagua lenye maziwa mengi.
 
Watu wazima wanakula hadharani na hakuna yeyote anayewazuia kufanya hivyo.

Vichanga navyo vina haki ya kula hadharani tukumbuke maziwa ya mama ni chakula kwao wakati wengine wana mawazo kwamba maziwa ya mama hayastahili kuonyeshwa hadharani kwa sababu ambazo hazina msingi inapokuja kwenye kunyonyesha watoto hadharani.

Kuna baadhi ya nchi wasichana kuanzia miaka 16 wako huru kutembea maziwa wazi lakini wakati huo huo akina mama wenye watoto hawaruhusiwi kunyonyesha hadharani!!!!
Huku kwetu ukinyonyesha hadharani utafurahi,Kuna kitu inaitwa zongo,ikimpata mtoto Wako utatamani kumgawa
 
Kwenu wapi huko Mkuu? Hii zongo ni kitu gani Mkuu? Funguka kwa kina Mkuu.

Huku kwetu ukinyonyesha hadharani utafurahi,Kuna kitu inaitwa zongo,ikimpata mtoto Wako utatamani kumgawa
 
For real I dont have anything against our beloved mothers but it sucks and just makes me sick.

Utakuta mama ananyonyesha ukimwangalia(macho hayana pazia) ana throw such a disgusting look kama vile you asked her anyonyeshe.

I dont mean to offend anyone but just find better locations u breastfeed ila sio publicly. It's not right kabisa.
Kwahiyo mtoto ateseke njaa kwasababu ya nyie wapita njia? Such a nonsense!
 
Kwenu wapi huko Mkuu? Hii zongo ni kitu gani Mkuu? Funguka kwa kina Mkuu.
huku Arusha ukinyonyesha mtoto nje au hata ndani ILA akiwa anaangaliwa na watu flani siku hiyo hulali mtoto analia Sana na anakuwa na kama vichomi tumboni,sasa ukishaona hayo kama hujui cha kufa ya unaweza mpiteza mtoto,
chakufanya
1.inatakiwa umtafute yule aliye kuwepo wakati unantonyesha,ili amtemee mate mtoto,na akifanya hivyo Tu linaisha hapohapo
2.kama hukumuona inatakiwa uwe na magadi na chumvi unachanganya kwenye maji na kumuogesha mtoto,atashtuka Sana kama aliyetoka usingizini ukimuweka kwenye hayo maji na pengine atalia sana lakin hiyo itakuwa pona yake.
Zongo Ni uchawi WA macho,unaweza kuwa unajijua au usijijue
 
Ahsante sana Mkuu nawachukia hawa wachawi ambao wanaweza kumdhuru hata mtoto ambaye hajawakosea chochote, ingekuwa amri yangu hawa watu wangepigwa vita duniani kote ili kuutokomeza uchawi duniani.

huku Arusha ukinyonyesha mtoto nje au hata ndani ILA akiwa anaangaliwa na watu flani siku hiyo hulali mtoto analia Sana na anakuwa na kama vichomi tumboni,sasa ukishaona hayo kama hujui cha kufa ya unaweza mpiteza mtoto,
chakufanya
1.inatakiwa umtafute yule aliye kuwepo wakati unantonyesha,ili amtemee mate mtoto,na akifanya hivyo Tu linaisha hapohapo
2.kama hukumuona inatakiwa uwe na magadi na chumvi unachanganya kwenye maji na kumuogesha mtoto,atashtuka Sana kama aliyetoka usingizini ukimuweka kwenye hayo maji na pengine atalia sana lakin hiyo itakuwa pona yake.
Zongo Ni uchawi WA macho,unaweza kuwa unajijua au usijijue
 
huku Arusha ukinyonyesha mtoto nje au hata ndani ILA akiwa anaangaliwa na watu flani siku hiyo hulali mtoto analia Sana na anakuwa na kama vichomi tumboni,sasa ukishaona hayo kama hujui cha kufa ya unaweza mpiteza mtoto,
chakufanya
1.inatakiwa umtafute yule aliye kuwepo wakati unantonyesha,ili amtemee mate mtoto,na akifanya hivyo Tu linaisha hapohapo
2.kama hukumuona inatakiwa uwe na magadi na chumvi unachanganya kwenye maji na kumuogesha mtoto,atashtuka Sana kama aliyetoka usingizini ukimuweka kwenye hayo maji na pengine atalia sana lakin hiyo itakuwa pona yake.
Zongo Ni uchawi WA macho,unaweza kuwa unajijua au usijijue
 
Nchi zingine kama za Scandinavia wanao utaratibu wa kujenga maeneo ambayo mwanamke anapotaka kunyonyesha anaenda kule anakutana na wenzake kunyonyesha. Ni marufuku kunyonyesha hadharani na ni jambo la kisheria. Kwao ni sahihi kwa sababu wametoa mahali maalum mbadala kwa kunyonyesha. Kama upo safarini kuna namna ambayo ruksa inakuwapo automatically. Wabongo ni kawaida tu kunyonyesha hadharani na hakuna sharia inayokataza na kwa hiyo swali la mleta hoja kwamba ni kosa ...SIO KOSA KISHERIA, kwa sababu hakuna sharia inayokiukwa
 
Back
Top Bottom