Kwisimla Senior Member Apr 15, 2011 190 89 Oct 22, 2011 #1 Hi, Naomba kufahamishwa taratibu za kufuatwa endapo mtu atanunua gari Zanzibar na kulileta Bara. Pia masuala ya kodi yako vipi?
Hi, Naomba kufahamishwa taratibu za kufuatwa endapo mtu atanunua gari Zanzibar na kulileta Bara. Pia masuala ya kodi yako vipi?