Kuna gharama ya kutembelea gari ya yenye usajili wa Tanzania Bara-Zanzibar?

Pia niliona Watanzania bara wakiagizwa kuchukua kibali cha kuruhusiwa kuendesha gari Zanzibar. Yaani leseni ya bara haitoshi.
Tanzani nchi imejaa wahuni hii unadhani mtaruhusiwa kiholela tuu kwenye nchi zingine na wizi huu
 
Pia niliona Watanzania bara wakiagizwa kuchukua kibali cha kuruhusiwa kuendesha gari Zanzibar. Yaani leseni ya bara haitoshi.
Issue ya driving haipo kwenye makubaliano ya muungano, zanzibar ni State yenye maamuzi yake ya ndani hivyo leseni ya bara itolewayo na TRA haitambuliki nchini Zanzibar.

Mtanganyika ukienda kule wewe ni foreigner unatakiwa kuomba kibali jeshi la polisi zanzibar kupitia wakala wa usimamizi wa usafiri zanzibar ndiyo watakupa kibali uanze kusogeza magari popote nchini Zanzibar!

😂!.
 
Umejaribu kujibu lakini namna ulivojenga hoja zako umefail.
1. Issue ya driving haipo kwenye mambo ya Muungano ni kweli lakini hakuna sababu ya Msingi. Mi niko mwaka wa sita Unguja na nimekuwa nikikamatwa kwa issue ya leseni ya JAMHURI YA MUUNGANO lakini hawawezi kukupeleka mahakamani hata kidogo. Kwa nini kwa sababu leseni iliyopo ni ya JMTZ siyo ya Bara kama unavoitamka. Polisi anayekukamata ana crown ya JMTz kwenye Barret yake na Mkanda. Maanake na yeye si wa Zanzibar ni wa Jamhuri hivo hana mamlaka ya kukkamata kwa kutumia leseni ya JMTz Unguja.

2. Hakuna kitu kinaitwa Polisi Zanzibar, ukiwa muoga watakusumbua lkn ukikomaa hawakufanyi chochote narudia nina miaka sita naendesha gari kila siku. Wakinisimamisha nakuuliza leseni nawapa hiyo hiyo ya JMTz.
3. Kama Mtanganyika ni foregner Unguja mbona wanafanya kazi bila work Permit? Mbona wanaangukia kwenye sheria ya mafao ya ZSSF tofauti na foregner ambaye akiacha kazi leo anapewa hela yake yote?

4. Kinachosumbua Unguja ni Ubara na Uzanzibar basi hamna kitu kingine. Mbona kwenye ajira za serikali wameajiriwa bara, PSPF, BOT, TPA,TRA na mpaka wakuu wa wilaya. Wewe mbara nenda kaombe kazi ZRB kama itatotekea.
 
Kuishi kwako miaka sita au kukamatwa na kutokupelekwa mahakamani siyo ushindi kwako.

Usiandike kwa kujisifu ni ujinga unaoleta hapa, hiyo ndiyo kariba ya watanganyika mlio wengi kwenye aridhi ya watu ukifanya kosa na kuachwa kisa anayekukamata 'sijui' ni sawa na fulani kutoka kwenu unajiona bingwa NO!.

Narudia Zanzibar haikutambui kwa leseni yako na ni lazima ukatanbulike kwa afisa wa usimamizi wa usafiri zanzibar siyo jeshi la polisi, usilazimishe kuwa unaelewa wakati hujui kitu 😃 !.
 
Rudia ulichoandika mwanzo wewe MBURULA, Hiyo kesi hata mahakamani nashinda unless nikamatwe na polisi wa Zanzibar kitu ambacho hakiwezi kutokea, kwa sababu Zanzibar haina polisi. Bata waheed. Nitaendelea kuendeshea leseni ya Jamhuri ya Muungano kwa sababu uNGUJA ni sehemu ya JMTZ. Labda kama ningekuwa natumia leseni ya bara kama unavoiita wewe. But mimi nina leseni ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Watishe wenzio huko mimi sikati hiyo leseni yenu mpaka naondoka UNGUJA, simple.
 
Kuishi kwako miaka sita au kukamatwa na kutokupelekwa mahakamani siyo ushindi kwako.

Usiandike kwa kujisifu ni ujinga unaoleta hapa, hiyo ndiyo kariba ya watanganyika mlio wengi kwenye aridhi ya watu ukifanya kosa na kuachwa kisa anayekukamata 'sijui' ni sawa na fulani kutoka kwenu unajiona bingwa NO!.

Narudia Zanzibar haikutambui kwa leseni yako na ni lazima ukatanbulike kwa afisa wa usimamizi wa usafiri zanzibar siyo jeshi la polisi, usilazimishe kuwa unaelewa wakati hujui kitu 😃 !.
Mtanganyika ukienda kule wewe ni foreigner unatakiwa kuomba kibali jeshi la polisi zanzibar kupitia wakala wa usimamizi wa usafiri zanzibar ndiyo watakupa kibali uanze kusogeza magari popote nchini Zanzibar!
 
Pia niliona Watanzania bara wakiagizwa kuchukua kibali cha kuruhusiwa kuendesha gari Zanzibar. Yaani leseni ya bara haitoshi.
Sio haitoshi. Bali haikubaliki kutumia lesenu ya Tanganyika huko Zanzibar
 
ngoja kwanza mbona ukienda kenya au ukitoka rwanda kuja tz hakuna kutambua au kutotambua leseni kutoka wapi..naona watu wa malory wana za kenya burundi na kongo na hawana cha ziada cha kuulizwa aidi ya kusoma kama ameruhusiwa na mamlaka za huko atokako zanzibar imekaaje au ndio legue y a tanganyinga na zanzibar
 
Kuishi kwako miaka sita au kukamatwa na kutokupelekwa mahakamani siyo ushindi kwako.

Usiandike kwa kujisifu ni ujinga unaoleta hapa, hiyo ndiyo kariba ya watanganyika mlio wengi kwenye aridhi ya watu ukifanya kosa na kuachwa kisa anayekukamata 'sijui' ni sawa na fulani kutoka kwenu unajiona bingwa NO!.

Narudia Zanzibar haikutambui kwa leseni yako na ni lazima ukatanbulike kwa afisa wa usimamizi wa usafiri zanzibar siyo jeshi la polisi, usilazimishe kuwa unaelewa wakati hujui kitu !.
kwan lesen imeandikwa vipi juu?
ukiwa mwoga utalipishwa mpaka kibali cha kuongea na wanawake zanzibar
 
Huo ndo ukweli leseni imeandikwa Jamhuri ya Muungano wa TZ, Unguja ni sehemu ya Jamhuri hizi propaganda za kuita leseni ya Jamhuri kuwa ya Tanganyika mimi nilishawambia sizitambui nipelekeni mahakamani ili mahakama ikanisaidie kupata tafsiri ya Jamhuri ya Muungano.
 
Rudia ulichoandika mwanzo wewe MBURULA, Hiyo kesi hata mahakamani nashinda unless nikamatwe na polisi wa Zanzibar kitu ambacho hakiwezi kutokea, kwa sababu Zanzibar haina polisi. Bata waheed. Nitaendelea kuendeshea leseni ya Jamhuri ya Muungano kwa sababu uNGUJA ni sehemu ya JMTZ. Labda kama ningekuwa natumia leseni ya bara kama unavoiita wewe. But mimi nina leseni ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Watishe wenzio huko mimi sikati hiyo leseni yenu mpaka naondoka UNGUJA, simple.
Ujinga wako umesimamia hapo, waliokupa nafasi ya kuondoa ujinga kwa kukulipia ada walikosa sana, kuna wadudu na wanyama walipaswa kulipiwa ada na wangekuwa msaada mkubwa sana kwa jamii, 😃😃!.

Hakuna eneo nimeandika Zanzibari wanakupa au kutoa leseni kwa foreigner kama wewe!
.
 
Kwa kweri kuna vitu vingi vinafikilisha sana kuhusu izi mamlaka mbili lkn ki ufupi uluhusiwi mpka uombe kibali na nicha miezi mi 3
 
Back
Top Bottom