Dally Kimoko
Member
- Jul 29, 2007
- 19
- 0
The question is..
1.DO WE REALLY NEED IT?
2.WHAT ARE WE GOING TO BENEFIT FROM HAVING IT?
1.DO WE REALLY NEED IT?
2.WHAT ARE WE GOING TO BENEFIT FROM HAVING IT?
Kama hayo mashahiri yasio na vichwa na miguu ni elimu, basi sijuhi selective nostlagia niiteje?
Companero:
Miaka ya sitini, sabini, themanini, kulikuwa na vitu vinasisima kama symbols za taifa.
Vitu hivyo ni mashirika ya ndege, vyuo vikuu, viwanja vya ndege n.k. Hivyo nchi yoyote ilipopata uhuru iliakikisha inakuwa navyo.
Sasa hivi mindset ni lazima zibadilike. Tuachane na symbols na tuwe kwenye BIZNIS.
Zakumi,nchi nyingi zilipopata uhuru tayari zilikuwa na viwanja vya ndege vilivyojengwa kabla ya uhuru,ila havijaendelezwa na hata matumizi yake hayakuwa kwa wa ajili ya wananchi wa kawaida,infrastructures zilikuwa strategically constructed to facilitate the movements of raw materials, labor and so forth,hata barabara na hata railways zilizojengwa na mkoloni zilikuwa ni kufacilitate movement za malighafi kutoka kwenye mashamba hadi bandarini nk. Na kwa hivyo basi mkoloni hakuwa mpumbavu,alikwishajipanga vyema sana kabla ya kutoa huo "Uhuru" walioutoa.
Tumeshindwa kupata maendeleo ya kijamii kwasababu hatukuweza kwenda kinyume na utaratibu wa kikoloni,yani sasa badala ya kuendelea kuwauzia malighafi,tungeangalia ni kwa vipi tunaweza kuwa wazalishaji na hivyo kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla.Hapo sasa ndio tungeanza kuona maendeleo kwenye jamii,barabara kwa ajili ya kufacilitate sio tu bidhaa ama malighafi,bali hata movements za wananchi,afya na elimu kupewa msisitizo(Hili hata mwalimu alilijuwa)yale yote aliyokuwa anayafanya mkoloni sisi tungefanya kinyume chake,mwalimu alijaribu kiaina,hakupata ushirikiano wa kutosha,na ndio maana tunaweza kuviita vitu hivyo kama symbols.
Kwa hivyo basi kama mkoloni alijenga barabara,hakujenga kwasababu alikuwa anawapenda sana wananchi,the same apllies to all infastructures including airports....Sisi tulitakiwa kufanya kinyume na hayo aliyoyafanya mkoloni kwasabu kazi ya infrastructures kwa ajili ya movement za kibiashara tayari zilikuwepo,kilichobakia ni kuwapa wananchi elimu,kuzitumia malighafi zetu kwa uzalishaji na si kuzi export.
Kwani hiyo selective blindness yako unaiitaje - blind spot?
Well all those reasons advanced against The United States Of Africa are actually reasons for a US Of Africa.Cannt you see?
Those numerous conflicts would disappear in the US of Africa.
Do you visualise regions in the same State fighting each other?!!
Skepticim wont take us anywhere.We are only playing to the Wazungu tune,why?
They want us to believe we cannot do it,so that they continue plundering our resources.
Ony Africa still has the most neede resources.Young Africans,we are capable of uniting and save our resources.
Naona ni Promosheni ya Kenya na SA tu hapo wengine wamesingiziwa.
Bora United States of Africa tufanye promosheni ya vizuri tulivyonavyo (ambavyo viko Kenya na SA). Hata United States of America huwa wanafanya promosheni ya mazuri waliyonayo - amabyo mengi yako kwenye States chache kama vile California na New York State. Huwezi ona promosheni ya maeneo/states yaliyochoka kama vile Mississippi, Oklahoma na Alabama