Unikome, Sikutaki Tena, kumbe 'Unanichezea Bure'

Katika vyote huwa hachezewi mtu ila kichezewacho ni hisia na roho za watu ambazo hutiwa majaribuni. Mengineyo huwa ni matumizi ya viungu husika vya uzazi sema matumizi hayo yanapotupiwa mikoni mwa watu wasio sahihi ndipo tunasema umechezea mtu yaani hisia zake ulizoziamsha na kushindwa kuzitunza.
Kwani kuna roho bila mwili???
Mjumuisho wa vyote ndo vinafanya mtu
 
ha ha ha, huyu kidonge ananchezea sana.

Nimekutana na watu wawili wa status tofauti wanalalamikia hii chezewa/chezea wiki hii.

Input yangu ikawa ndog maana sikujua sana cha kuwaambia.

From where I stand naona kama yes...
 
So hivi kwani yale madudu yanapoungana kinachofanyika pale ni mchezo au ndo function yake? Kwani ukiachwa yanaumia au kinachoumia ni roho na ubongo?.
Teh teh miili inaweza kuzima..we jaribu kusex na mdada halafu awe hajafika kileleni umuache uone atakavyokuona kilaza
 
....ivi dunia hii bado kuna haya majibu....
Wakat niko primary ndo nilikua nayasikia haya..
 
....ivi dunia hii bado kuna haya majibu....
Wakat niko primary ndo nilikua nayasikia haya..
wanawake wakiwa wadogo sana au wakubwa sana
wanaona ndoa ndio mpango mzima. ukikua utayaskia tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom