Ungependa ufukuze baridi hii na nani hapa JF?

kwa hali ilivyo naenda kariakoo kununua yale mablanketi
makubwa mawili yatanitosha kwa sasa wakati namalizia malizia eda.

mhhh mablanketi tena hayawezi bana kufukuza baridi ya mwili mama? fanya mpango umtafute baba nanihiii akupekijoto mama ohooo usije ukaganda kimasanga na baridi bana
 
Back
Top Bottom