Ungependa ufukuze baridi hii na nani hapa JF?

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,168
Wadau kutokana na haka kajimsimu kaubaridi maeneo mengi ya tanzania hususan hapa dar.
Kama ungepewa nafasi ya kutoka na mtu hapa jf ungemchagua nani??

Mim ningependa kuchomoka na mdada 1 anaitwa MWALI ili tuikemee na kuifukuza hii barid wewe je??
 
Hili swali halijanitendea haki, ungejaribu kusema na wakina nani.. kwa upande wangu mmoja hata ntosha.!!!
beibe nasty
madame b
smile
charminggirl
mamdenyi
na yule mwingine mweupe mweupe..
hapo kidogo ndo itasaidia.!!
 
Very biased question. Mbona hujaweka altenative kwa wadada wa humu kuwa wao wangependa kutoka na mkaka yupi?
Jamani kutoka sio lazima kuwe engineered na kuwa financed na mwanaume tu, ninawajua wadada kadha wa hapa jf ambao wanazungusha raundi kadha hata kwa meza ya wakaka10!
 
Hili swali halijanitendea haki, ungejaribu kusema na wakina nani.. kwa upande wangu mmoja hata ntosha.!!!
beibe nasty
madame b
smile
charminggirl
mamdenyi
na yule mwingine mweupe mweupe..
hapo kidogo ndo itasaidia.!!

Hapo mwake,japo beibe nasty ni shost wangu,ila kwa baridi hili Junior. Cux,tutagombana.
Me nina ujotoooo....!!!huo balaa.
Nakuagizia dereva wangu akufate Junior. Cux
 
Last edited by a moderator:
Nyie mnaochagua watatu, wanne na kuendelea mnataka mjimilikishe halafu sie tuwapate kina nani? Au ndo mnataka kutupa option ya kina cameron?
 
Back
Top Bottom