Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Ngabu nikimtaja na akatokea dada yako itakuwaje (I was about to get a ban lol nimemtaja nguli badala ya wewe )?its difficult to guess au give me options A b c d
 
Ngabu nikimtaja na akatokea dada yako itakuwaje (I was about to get a ban lol nimemtaja nguli badala ya wewe )?its difficult to guess au give me options A b c d

Lol...uzuri ni kwamba sina dada.....

WoS
FL1
Bi Senti. 50
Pretty
bht
Lyly Flower
Mwafrika wa Kike
MwanajamiiOne
Preta
Da Sophy
Diana Dabodiff
Bimkubwa
Nyamayao

Na wengineo.....

Na wengineo.....
 
Ngabu smart arse eeh? I said A B C D..... sio uwataje wanawake wote wa JF...:angry:

ok here's a better idea ni PM ili nije kumtaja on ur behalf lolllllll
 
Majungu yashaanza humu kwenye jamvini kisa nimesema Nyani Ngabu chaguo langu............................ Nyani uko wapi we need to put some sense into someone's head hapa
 
Back
Top Bottom