ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 44,332
- 92,316
Kwa hiyo unaandika maneno yenye ukakasi huko pm mkuu?🤣🤣Jana nimemtumia mtu neno la tusi pm ghafla ikajifuta ikaja nyota
Nani alifuta sasa!?😂
Nadhani hiyo inakuja by default, kuna maneno wameyawekea screening, hasa matusi.