Ungependa kukutana na hawa JF members?

Kwahiyo unataka wakupe?! 🤣🤣🤣
Kwanza kaka Manyanza piem unachatigi vitu gani mpk unaogopa..?! 😜
Jamii Forums ni moja ya kitu cha thamani sana kama utakuwa na matumizi sahihi. Naandika hivi kuna siku nita kutag tena. Na ishu ya kusema nachatig nini PM hiyo haijalishi kwa sababu nikiwa na interest ya Comment au thread fulani nitamfuata aliyeandika ili kuanza process za kutafuta mawasiliano zaidi. Na kuna member wengine hawezi akakupa mawasiliano binafsi siku hiyo hiyo inaweza chukua hata miezi mitatu. JamiiForums ni mgodi na una kila kitu ni wewe tu utachagua cha kuchukua.
 
🤣🤣🤣🤣 Thubutuu!!!
 
Njia rahisi ya kupata mawasiliano na wajuba wa JF ni kuanzisha ID yenye Jina la kike. Jamaa watagunguka inbox na kutoa namba zao za simu na kufichua ID zao.
 
Kuna namna siwaelewi, unakuta mpo wawili mnachat mara kitufe kinaonyesha "online 3", sasa unajiuliza huyu wa tatu ni nani.

Kama sio wao waje waseme huyu wa tatu ni nani wakati mpo wawili mnachat?

Mzuka wa kutongoza ulikata ghafla🤣🤣🤣🤪
Wazee wa PM mna mambo! 😂😂😂 kumbe huwaga mambo yako hivyo! 😅
 
Back
Top Bottom