Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Hahahaaa!
umenichekesha mkuu lakini hapo utaua jamaaa angu..!
umenichekesha mkuu lakini hapo utaua jamaaa angu..!
Jamaa alikuwa amelaa na mkewe. Saa tisa ya usiku wakaamshwa na mtu akipiga hodi mlangoni kwao. Wakabishana nani akafungue, hatimae mume akiwa usingizini kaenda na kufungua mlango.
Akamkuta jamaa kalewa sana mlangoni kwao:
MUME: Nini tena mheshimiwa kuamshana saa hizi?
MLEVI: Naomba uje unisukume.
Jamaa akiamini kuwa pengine kuna gari la huyu mlevi limezima jirani akamwambia subiri nikavae viatu. Baada ya kuvaa viatu akatoka na wakaanza kusindikizana na mlevi. Mlevi akaongoza njia mpaka kwenye mabembea ya jirani akakaa kwenye bembea moja na kumgeukia jamaa na kumwambia,
MLEVI: Okay nisukume basi..
Aixee yani ningechapa vboko mpaka pombe zmtoke
namwambia subiri, naenda kumuita wife, namwambia haya msukume... me narudi zangu kulala