Ungekuwa ni wewe ungechukua uamuzi gani?

Jemmie

JF-Expert Member
Mar 6, 2018
216
285
Siku zote mke wangu amekuwa akiniambia kuwa ananipenda sana kitu kizuri zaidi amekuwa akinionyesha upendo huo, jambo ambalo limenifanya nijivunie kuwa naye siku zote siku moja nikaamua kumtania kwani tumezoea kutaniana, na siku zote amekuwa akifurahia utani wangu.

Nikamtania, ‘mke wangu, nimefukuzwa kazi na kibaya zaidi wamesema nitafirisiwa nyumba pamoja na gari zangu ili kufidia hasara ya kampuni mke wangu aliniangalia kwa ukali, kitu ambacho hakijawahi kutokea hata siku moja, kisha akanifyonya kwanza kabisa nilishangaa, mke wangu ananifyonya! Haijawahi tokea tangu tuanze mahusiano yetu, ila nikaona huenda tu ame-panick kwa sababu ya taarifa niliyompa.

Basi akaenda zake kulala na usiku mzima hakutaka kuniongelesha kabisa asubuhi kulipokucha nilishangaa kuona mke wangu amekusanya vitu vyake nje, nikamuuliza mbona anatoa vitu nje? Akanijibu hawezi tena kuishi na mimi kwani hawezi kuishi na mwanaume ambaye hana kazi, pesa, nyumba wala gari.

Nikamwambia naomba uniachie mwanangu basi, akanijibu kwa ukali, huyu sio mwanao na hapa unaponiona nataka kuelekea kuishi kwa baba wa mtoto wangu kichwa changu kilichanganyikiwa, sikutegemea kama utani ule ungeweza kuzua yote yale nikaamua kumuita mke wangu niongee naye kumjulisha kuwa nilikuwa namtania tu.

Nikamwambia, ‘mke wangu, pole sana nilikuwa nakutania tu ukweli ni kwamba nimepandishwa cheo kazini, na pia nimepewa nyumba nyingine kubwa zaidi ya hii pamoja na gari zuri zaidi la kutembelea, hivyo kesho tunahamia nyumba nyingine ambayo ni nzuri sana’.

Huwezi amini, mke wangu aliruka juu kwa furaha akanikumbatia na kunipa mabusu tele huku akisema, ‘nakupenda sana mume wangu kipenzi, siku zote za maisha yangu sijawahi kujuta kuwa nawe naomba unisaidie kurudisha vitu ndani’
nikamsaidia kuingiza vitu vyote ambavyo alikuwa ametoa tulipomaliza, nikamuuliza kwa upole, mke wangu ina maana kweli ndio ulikuwa unaondoka?

Akanijibu, ‘hapana mume wangu, nilikuwa nakutania tu k namna ninavyokupenda nisingeweza kukuacha peke yako’
tayari tumehamia nyumba mpya, na maisha yamekuwa bora zaidi kuliko mwanzoni kutokana na kupandishwa cheo lakini akili yangu bado inafikiria kitendo kile na pia maneno aliyoniambia juu ya mtoto hivi hapa kuna upendo kweli? na ungekuwa ni wewe ungefanyaje? tupia comment yako hapo chini...!
 
Japo hadithi ni ya kutunga ila inafundisha
Mwanaume kama huyo kwenye hadithi ni one in a billion
 
Pambana ela yote mkuu pambania kombe huna mke apo na so bure umepikwa wew..
 
Kama ni kweli, narudia tenaa Kama ni kweli na kwa maamuzi uliyochukua basi wewe ni Kama mnyama nyumbu tu....Kama ni kweli lakini
 
Siku zote mke wangu amekuwa akiniambia kuwa ananipenda sana. Kitu kizuri zaidi amekuwa akinionyesha upendo huo, jambo ambalo limenifanya nijivunie kuwa naye siku zote.

Siku moja nikaamua kumtania kwani tumezoea kutaniana, na siku zote amekuwa akifurahia utani wangu.

Nikamtania, ‘mke wangu, nimefukuzwa kazi. Na kibaya zaidi wamesema nitafirisiwa nyumba pamoja na gari zangu ili kufidia hasara ya kampuni’.
Mke wangu aliniangalia kwa ukali, kitu ambacho hakijawahi kutokea hata siku moja, kisha akanifyonya. Kwanza kabisa nilishangaa, mke wangu ananifyonya! Haijawahi tokea tangu tuanze mahusiano yetu, ila nikaona huenda tu ame-panick kwa sababu ya taarifa niliyompa.
Basi akaenda zake kulala na usiku mzima hakutaka kuniongelesha kabisa.
Asubuhi kulipokucha nilishangaa kuona mke wangu amekusanya vitu vyake nje, nikamuuliza mbona anatoa vitu nje? Akanijibu hawezi tena kuishi na mimi kwani hawezi kuishi na mwanaume ambaye hana kazi, pesa, nyumba wala gari.
Nikamwambia naomba uniachie mwanangu basi, akanijibu kwa ukali, huyu sio mwanao na hapa unaponiona nataka kuelekea kuishi kwa baba wa mtoto wangu.
Kichwa changu kilichanganyikiwa, sikutegemea kama utani ule ungeweza kuzua yote yale. Nikaamua kumuita mke wangu niongee naye kumjulisha kuwa nilikuwa namtania tu.
Nikamwambia, ‘mke wangu, pole sana nilikuwa nakutania tu. Ukweli ni kwamba nimepandishwa cheo kazini, na pia nimepewa nyumba nyingine kubwa zaidi ya hii pamoja na gari zuri zaidi la kutembelea, hivyo kesho tunahamia nyumba nyingine ambayo ni nzuri sana’.
Huwezi amini, mke wangu aliruka juu kwa furaha akanikumbatia na kunipa mabusu tele huku akisema, ‘nakupenda sana mume wangu kipenzi, siku zote za maisha yangu sijawahi kujuta kuwa nawe. Naomba unisaidie kurudisha vitu ndani’.
Nikamsaidia kuingiza vitu vyote ambavyo alikuwa ametoa. Tulipomaliza, nikamuuliza kwa upole, mke wangu ina maana kweli ndio ulikuwa unaondoka?
Akanijibu, ‘hapana mume wangu, nilikuwa nakutania tu. Kwa namna ninavyokupenda nisingeweza kukuacha peke yako’.
Tayari tumehamia nyumba mpya, na maisha yamekuwa bora zaidi kuliko mwanzoni kutokana na kupandishwa cheo. Lakini akili yangu bado inafikiria kitendo kile na pia maneno aliyoniambia juu ya mtoto.
Hivi hapa kuna upendo kweli? Na ungekuwa ni wewe ungefanyaje? Tupia comment yako hapo chini...!
Huyo n mchaga wa malangu
 
Acha matusi mtandaoni ...shauri zako...
 
Alikutania chukulia hivyo maana si ndo utani wenu? Vinginevyo ungesubiria uone ka alimaanisha kweli au akwambie baba ni nani?
 
Hadithi imeisha au itaendelea?

Huyo muhusika wa kiume hana akili kabisa hafai kuigwa na jamii
 
Dah!naona kama story lakin kama n kwel bas utakuwa umeona aina ya upendo wa mkeo,kuna aina mbili za upendo ambao n conditional love and unconditional love sasa ndugu tangu kama mlifunga ndoa bas hakuwa mtu sahihi yaan viapo vyote alikula vya kinafik(conditional love not intimacy) sasa ndugu inabid ujipange kwa lolote na uzid kumuomba sana Mungu akulinde sana maana lilitokea la kutokea mwenzako naona hana habar na ww na sasa unaeza kuanza kuish naye kwa akili kama uliwekeza mazima jtahd kupanua akili sasa yote yamefumbuliwa
Pia kuhusu suala la mtoto wako tafta namna ya kupima vinasaba(DNA)kwa jinsi alivoreact na kuongea maneno hayo n muhmu kufanya uchunguzi tena fanya kwa siri mpendwa
Mwisho nkupe pole kwa msongo wa mawazo ila relax m naamin Mungu ameamua kukuonesha kwamba unaishi na mnafik mda wote huo japo imekuja katka hali ya utani ila unatakiwa utafakar kwa kina jaribu kurelax wakat unafanya yote hayo
 
Back
Top Bottom