Unaweza kutumia mbinu hizi

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Unaweza kutumia vitu ulivyo navyo kutatua baadhi ya dharura zinazoweza kukukabili kwa kufanya yafuatayo:
1. Ushajikuta dukani unataka kununua suruali au sketi lakini huna jinsi ya kujua kama size ya kiuno itakutosha.Hii yaweza kukupata kama uko Tz kwenye maduka ambayo huwezi kujaribu nguo wala hayakubali urudishe ukisha inunua!Usikonde! Chukua nguo hiyo ( sketi au suruali) kama ilivyo kisha zungusha kwenye shingo yako mwenyewe! Ikiungana basi ujue itakutosha maana shingo yako ni nusu ya kipimo cha kiuno chako! Mfano kama unavaa shati size 16 basi most probably utavaa kiuno size 32-34.Maajabu hayo!Jaribu kujipima.
2.Nguo nyeupe zilizofubaa unaweza kuzirudishia weupe wake bila kutumia bleach.Ziloweke kwenye maji ya ndimu kwa muda wa kutosha kisha zisuuze ndipo uanike.
3. Harufu za vikwapa zisizoisha - hii ni kero maana hata upake perfume inaweza isikubali.Mtu mwenye tatizo hili anaweza kushauriwa kuloweka ukoko wa ugali na kisha kutumia maji yake kusugulia makwapa na kisha kuoga kama kawaida.Hii ni kiboko ya vikwapa!

More to come..
 
Halafu mtu aje kutusumbua kwenye madaladala na miharufu yake ya kwapa.
4. Kwa kuongezea ukitaka kujua kama ugali umeiva unakata tonge kidogo unalitupia ukutani likinata umeiva likianguka endelea kusonga dude bado bichi
 
this is a gud tip
 
5.Unaweza kukoroga unga wa ngano na maji na kupata mbadala wa gundi - hii unaweza kuitumia kunatishia karatasi na vitu vingine vyepesi.
 
Kama una tumbo la kuharisha chemsha maji na uyatie chumvi ya kiasi yaacha yachamke sana, Yakishapoa kunywa glasi moja inasaidia sana hata kama unaharisha damu, lakini kama unaharisha damu muone doctor haraka sana.

Kama kucha zako zimebadilika rangi na kuwa na rangi ambayo si ya kawaida basi zioshe kila unapooga na upake vicks baada ya muda utaona zinaanza kurudi katika rangi ya kawaida.

Swali natafuta sana mchaichai, je kuna mbegu ya majani ya mchaichai?
 
BAK,
Hiyo mbegu ya mchaichai inategemea uko wapi.
Kwa DSM , ukitembelea bustani wanazouza maua unaweza kupata.
 
Kwa wale wenye upungufu wa damu ( low HB) unaweza kurekebisha hali hii kwa kuzoea kupikia cast iron cookware.( haya ni masufuria ya chuma kilichofuliwa na ni mazito).Vile vile masufuria haya hufanya chakula kuwa na ladha nzuri zaidi, na huhifadhi joto kwa muda mrefu.
 
Kwa wale wenye upungufu wa damu ( low HB) ......

Tumia choya also known as rosella also known as hibiscus flower. Chemsha to the boIling point (of water). Ikishapoa chuja na weka sukari kwa kiwango utachopenda. Waweza tumia kama soft beverage kwa familia.

Inarudisha red blood cells immediately na effectively (hasa kwa kina mama wajawazito wenye matatizo ya anaemia).
 
Unaweza kutumia vitu ulivyo navyo kutatua baadhi ya dharura zinazoweza kukukabili kwa kufanya yafuatayo:
1. Ushajikuta dukani unataka kununua suruali au sketi lakini huna jinsi ya kujua kama size ya kiuno itakutosha.Hii yaweza kukupata kama uko Tz kwenye maduka ambayo huwezi kujaribu nguo wala hayakubali urudishe ukisha inunua!Usikonde! Chukua nguo hiyo ( sketi au suruali) kama ilivyo kisha zungusha kwenye shingo yako mwenyewe! Ikiungana basi ujue itakutosha maana shingo yako ni nusu ya kipimo cha kiuno chako! Mfano kama unavaa shati size 16 basi most probably utavaa kiuno size 32-34.Maajabu hayo!Jaribu kujipima.

More to come..

Loh! Kuna wajamaa wengine ni wanene kweli. Nadhani makisiyo hayo yawe kwa watu wa kipimo cha kawaida. Ama walio wanene wasifuate watakosea bila shaka.
 
Oyaah ...Mtu kama Mh John Komba ama Mh Mghana Msidai that scenerio wont work, maana kama shigo zao ni nusu ya viuno vyao wangekuwa na shingo kama za mibuyu....ama mama Mh Rev Dr Getrude Rwakatale imagine mahusiano ya kiuno chake na shingo! mhhhh
 
Kwa wanawake, kama umemuona nyoka ukishika ziwa~titi (nadhani la kushoto) nyoka huyo anakua hatembei na unamuua kirahisi zaidi. Nilwaona bibi zangu mwaka 47, (mungu awalaze mahali pema peponi~AMEN) wakiua nyoka mara nyingi tu huku wakiwa wameshika ziwa la kushoto na walikuwa wametulia kama wanaua sisimizi na bila kelele zote :) na kweli nyoka alikuwa hatembei kabisa lakini mama zangu wakubwa na wadogo walikuwa wanalijua hili lakini wakishika ziwa kwanza wenyewe wanatetemeka na kelele chungu nzima :) mara wameruka huku na kule na katika kufanya hivyo basi mkono hauko tena ziwani basi nyoka huwa na speed isiyo ya kawaida. :)
 
Loh! Kuna wajamaa wengine ni wanene kweli. Nadhani makisiyo hayo yawe kwa watu wa kipimo cha kawaida. Ama walio wanene wasifuate watakosea bila shaka.

Yeah..si unajua katika kila general rule kuna exceptions?
 
Kwa wanawake, kama umemuona nyoka ukishika ziwa~titi (nadhani la kushoto) nyoka huyo anakua hatembei na unamuua kirahisi zaidi. Nilwaona bibi zangu mwaka 47, (mungu awalaze mahali pema peponi~AMEN) wakiua nyoka mara nyingi tu huku wakiwa wameshika ziwa la kushoto na walikuwa wametulia kama wanaua sisimizi na bila kelele zote :) na kweli nyoka alikuwa hatembei kabisa lakini mama zangu wakubwa na wadogo walikuwa wanalijua hili lakini wakishika ziwa kwanza wenyewe wanatetemeka na kelele chungu nzima :) mara wameruka huku na kule na katika kufanya hivyo basi mkono hauko tena ziwani basi nyoka huwa na speed isiyo ya kawaida. :)

BAK,
Hizi ni baadhi ya mbinu ambazo pengine tunahitaji kuzitafiti zaidi.Mimi niliwahi kusikia kuwa unashika mkono - wrist na eti nyoka huyo hatoenda popote.Niliwai kujaribu kushika mkono na wala sikupiga kelele wala nini.Nikaona nyoka huyoooooooooo anatokomea kwa speed.
Hivi kwa wale wajuzi, wanaweza kutufafanulia kuna uhusiano gani kati ya kushika sehemu ya mwili na kuzubaa kwa nyoka?
Pia niliwahi kusikia kuwa kwa mama mjamzito aliyeshikwa na uchungu, akifunga fundo kwenye nguo basi hatajifungua hadi afike hospitali.Sijui kama ina ukweli wowote.
These are some of the local knowledge that we need to document maana mara nyingi hatuko wepesi ku document vitu vyetu.
 
3. Harufu za vikwapa zisizoisha - hii ni kero maana hata upake perfume inaweza isikubali.Mtu mwenye tatizo hili anaweza kushauriwa kuloweka ukoko wa ugali na kisha kutumia maji yake kusugulia makwapa na kisha kuoga kama kawaida.Hii ni kiboko ya vikwapa!

Dawa ya kikwapa ni clinical/prescription strength anti perspirant deo. No, ands, ifs, or buts about it!!

Ukizuia utokaji wa jasho profusely kwenye kwapa, utadhibiti harufu mbaya.
 
Pia niliwahi kusikia kuwa kwa mama mjamzito aliyeshikwa na uchungu, akifunga fundo kwenye nguo basi hatajifungua hadi afike hospitali....

Waungwana wanasema ukiugua red-eyes au nyoka akikutemea mate machoni dawa ni maziwa ya mama! Tafuta mama anayenyonyesha akukamulie maziwa yake machoni, utapona haraka. Sijui kama kuna scientific proof.
 
..Sivuti sigara na meno yangu are generally clean na meupe ila pale meno mawili yanapokutana haya ya upande wa chini kunakuwa na ukungu fulani hivi ambao no matter how hard I brush, hauondoki vile ambavyo nigependa. Hii nimeona pia kwa watu wengi kiasi. Any Suggestions? natanguliza shukurani....!
 
This may be gross...maybe impolite...or to some offensive...but if you go down south on your lady...and if she secretes lots of love juices...it might do the trick!! Ukimaliza...kasuuze mdomo halafu jiangalie kwenye kioo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom