wanamuita Don King aka Shayo i remember those days akiwa arusha sec b4 hajaamia old moshi
haya asubuhi njema.... ila kama uko huko Buswelu wasalimie sana
Mwl Mutasa,Nyakato sec school 1969 - 1975
Mwl Mushi,ilboru high school 1975 - 1979
Those days,shule zikiwa shule,walimu wakiwa walimu,hakuna cha tuition wakati huo wala wizi wa mitihani.
....kumbe wewe ndo unayeshikilia roaster za Ma HM pale wizaran ee??...nashukuru kufaham.
Punguzeni nyanyasa walim.
NImemkumbuka pia Mzee Mgohamwende .... MAzengo Dodoma.....
Mwl Mutasa,Nyakato sec school 1969 - 1975
Mwl Mushi,ilboru high school 1975 - 1979
Those days,shule zikiwa shule,walimu wakiwa walimu,hakuna cha tuition wakati huo wala wizi wa mitihani.
ugomvi wake ulikuwa ni kufuga ndevu!RIP Mr. P Mjale Minaki High School...mutu mufupi!
15. Headmaster bukoba seco. Bagambirana huyu alikuwa noma. Alikuwa anachimba mkwara wa hatari.badae alienda karagwe seco,alikuwa anamentain discipline kwa wanafunzi na walimu. Kwa sasa ni hmaster shule ya kkkt bukoba. 16. Mrs bagambirana alikuwa h/mistress rugambwa.huyu mama alikuwa mzuri kama mmewe.kwa sasa ni h/m bweranyange girls seco. 17. Fr furtunatus bijura. Huyu alikuwa rulenge seco.miaka ya 80 shule hii ilifanya vizuri sana. Alipotoka rulenge alienda usa kusoma na ni phd holder na yuko jimbo la kayanga. 18. Bakuza wa ihungo seco. Alivyostaafu alienda kadea huko wanafunzi wakagoma na kutaka kumuua.wakti wa enz zake ihungo shule ilikuwa tishio. Kwa sasa ni marehemuLeo nimekaa na kuwambuka baadhi ya Maheadmaster wa shule zetu katika miaka ya 80s, 90s na early 00s, ni wale waliokuwa katika zile shule zetu kongwe za miaka mingi, kutokana na uchache wa shule kipindi kile ilikuwa rahisi kuwajua wengi na wa shule nyingi tuuu.na wanafun
Naomba tuwataje na baadhi ya Character unazozikumbuka
- Mr Kwayu (Azania) huyu alipendwa sana na wanafunzi wake!
- Mama Mkamati (Jangwani)
- Mkangwa (Tosamaganga/Moro Sec) huyu mtu kwa kubadilisha suti hajambo!!
- Mr. Andrew Shayo (Umbwe/Arusha/Old Moshi) huyu alikuwa Bondia ukileta utani anaweza hata akakupa gloves mpigane!!
- Mr. Kitemangu (Ilboru)
- Mr. Makange (Arusha day)
- Mr. Vaginga J Vaginga (Ifunda) huyu alikuwa na bonge la Afro sijui alikuwa haendi Salon?
- Mr. Kisusange (Iyunga)
- Mr. Gwajimira (Kibiti) Huyu nilisikia alishatutoka!
- Mama Mashaka (Nganza) na huyu alishatutoka
- Mama Ropa (Nganza)
- Mr. Mbangwa (Nsumba/Tosamaganga)
- Mr. PB Rwamwasi (Old Moshi/Arusha sec)
- Mr. Malisa (Pugu)
Ongeza basi na wengine na wasifu/vituko vyao ama ongezea wasifu wa baadhi ya hao hapo juu.
ugomvi wake ulikuwa ni kufuga ndevu!
Ukikutana naye nje ya shule haulizi permit bali anaangalia kama umevaa sare ya shule au la.
Nyumba yake imekoswakoswa kuchomwa moto mara kadhaa.