Unawa 'rank' vipi wachezaji wa soka wa Tanzania kwa miaka ishirini iliyopita?

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
Ndugu wadau, hususani wapenda soka, wenye kuijua soka ya bongo tokea enzi hizo kuanzia mwaka 1990 mpaka 2000, ungeambiwa uwapange wachezaji mbalimbali unaowafahamu, hususani wa timu zetu mbili kubwa bila kujali unazi wa kitimu, je unge "warank" vipi wachezaji mbalimbali kwa umahiri wao bila kujali timu zao?.

mimi binafsi nilikuwa na maoni yafuatayo.
MAKIPA
1: Mohammed Mwameja
2:Stephen Nemes
3:....................
4:...................
5.......

MABEKI.
beki za kushoto
1: KENETH MKAPA
2:ALPHONCE MODEST
3:TWAHA HAMIDU
4....................
5.................
6.................
7...............

beki za kulia
1:..................
2.............
3...........

SENTAHAFU:
1:George Masatu
2:Constantino Kimanda
3:Saidi Zimbwe
4:....................
5.......................

Middle Namba Sitta
1:Method Mogella
2:Ramadhan Leny
3:Issa Athuman
4....................

Namba saba
1:Abubakar Salum
2:....................
3...................

Namba nane
1: Hamis Thobias Gaga
2:Hussein Amani Masha
3:Athumani China
4.................

NambaTisa
1:Zamoyoni Mogella
2:Saidi Mwamba Kizota
3:Edward Chumila
4:.....................

Namba Kumi
1.................
2................
3.............

Kumi na moja
1:Edibily Lunyamila
2:Dua Saidi
3:Thomas Kipese
4..........................
 
Jana nimebahatika kumuona Athumani China kwa mara nyingine tena, yaani jamaa bado mpira umo sana na ile fitness...

Alikuwa anazunguka uwanja mwanzo mwisho akitafuta vyumba...
 
Back
Top Bottom