Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,758
1. Ghana vs Uruguay
World cup 2010 south africa, suarez alinawa mpira makusudi uliokuwa ukizama kambani . ikatengwa penati na Asamoah Gyan akaenda kukosa nakumbuka braza angu alilia sana coz ile gemu ingetusaidia wa africa kuingia nusu fainali.
2. Fabrice Muamba,alidondoka uwanjani gemu ilikuwa kati ya spurs vs Bolton wonderers (uingereza) jamaa unambiwa moyo ulisimama average 78 min, kulikua na simanzi uwanja mzima ulikua kimya huku wengine wakilia hali iliyopelekea gemu kua hirishwa.
3. Zidane VS Materazi World Cup 2006
Bonge la gemu mi nikiwa shabiki wa ufaransa, mara paah zizou kapiga mtu kichwa akatolewa kwa red card. Ishu ikaja je kwanini zizou kampiga materrazi kichwa. Stori zikawa nyingi mara ooh kamtukania mama yake,wengine walisema alimtukana upara nk.
4. Man City 6-1 Man United
Hichi kichapo kili ushangaza ulimwengu, mzee wetu ferguson akawa mwekundu uso mzima. mashabiki wa man u tukabaki tumeduwaa. ikawa ndio mwanzo wa brand ya city kukua
5. Sergio last minute goal against Athletico Madrid 92
HII gemu nikajua madrid tumekufa, diego simeone akawa anawambia mashabiki washangilie! Haloo sekunde ya mwisho chuma, its Ramosss!
6. Simba 5-0 Yanga mwaka 2012
Hakika hawa wajinga tuliwachapa bila huruma, kila muda Okwiiiii.
7. Azam VS Yanga
Hii gemu wachezaji wandamizi wa Yanga walikosa uvumilivu walimpiga makonde Mwamuzi Israel Nkongo kama sikosei, baadaye hao wachezaji walikumbana na rungu la TFF, kina Mwasika, Shedrack Nsajigwa nk.
8. Yanga 5-1 Simba
Hakuna rangi wadau wa Msimbazi waliacha kuona, Yanga wanaweka mabango kila sehemu za DSM, huku ikionesha 5G.