Unatumia mbinu gani ili hasira ziishe?

Nikikasirika nafoka sana tena sana kwa aliyenikosea .
Ila bad enough silijui wala sielewi neno msamaha ukinikosea jua nitakulipa , naendelea kujitahidi kujua kusamehe maana ilifika mahali nina mpka diary naandika walionikosea na kuandika adhabu zao ili moyo wangu uwe free .
Bahati mbaya ninapofoka uwa hasira zinaniisha hapo ila uwa sisamehei nakutafutia adhabu tu .
Mungu anisaidie tu
 
Back
Top Bottom