Unatumia mbinu gani ili hasira ziishe?

Nikikasirika nafoka sana tena sana kwa aliyenikosea .
Ila bad enough silijui wala sielewi neno msamaha ukinikosea jua nitakulipa , naendelea kujitahidi kujua kusamehe maana ilifika mahali nina mpka diary naandika walionikosea na kuandika adhabu zao ili moyo wangu uwe free .
Bahati mbaya ninapofoka uwa hasira zinaniisha hapo ila uwa sisamehei nakutafutia adhabu tu .
Mungu anisaidie tu
 
Nakosaga hadi usingizi yani nikikwazwa.

Solution huwa naenda zangu kutafuta mwanamke napiga show kinoma

nikiwa na hasira huwa napeleka moto hatari sijui kwanini

Baada ya hapo nakuwa Fresh kabisa
 
Hapo sawa,nikajua zile style kununuliana maua,sijui KADI tena uandike kwa mkono,lol..

Teach me how kubembeleza,maana me wifi yako akinuna,namkaushia kisirani kikiisha atanitafuta
 
Back
Top Bottom