Unataka kuoa uchagani?

Na haya ndio maneno ya watu wa Moshi:

Tuwashukuru Mangi Sina, Meli, Horombo et el..........

Namshukuru Mungu Kuzaliwa chini ya kivuli cha Mlima Kilimanjaro. Wenye Wivu wajinyonge!

Haahhah...ndo maana nampenda babu!!Kili iko juu kama watu wake!
 
ni rahisi sana,ni vichache tu utaambiwa ulete;
1.kabati ya mbeho
2.pick up ya mala
3.radio ya picha
4.kitanda cha kamba.
hiyo ilinivutia sana hadi nina mpango wa kwenda huko kama sio marangu basi ni kibosho,machame,rombo,hai au kibololoni.razima.
5. Thermos ya ugali na mboga! (hotpots)
 
Sisi wachaga we are so special in this country nafikiri tuna utamaduni wa tofauti .
 
Mona nkyoki kikutiri? Pole pole basi utamtisha sana hata hata taka kujaoa hai

Nsunza yani nimerudia sentensi ya kwanza mara tano alafu bado hakiji kitu...asante kwakunikumbusha nahitaji kupiga brush kilugha changu kidogo!!

Mmmh kama maneno yakimtisha basi matendo hatoyaweza kwahiyo bora tu aende kwingine!!
 
Kuna watu wanafikiri wachagga ni wabaguzi au wana majivuno..lakini ukweli wachagga..ni watu wenye wivu wa maendeleo na wanaamini kuwa kutiana changamoto au uchungu ndio njia ya kuwafanya walio na maisha duni nao watoke......utaratibu huu umesaidia wengi...mfano...

Wachagga wanapokutana kwenye familia especially december ......kwenye familia unatakiwa kama una pesa basi uwe angalau umesoma....kama huna vyote basi ....wewe kazi yako itakuwa ndio mtu wa kutumwa tumwa Kuni ,kuwachomea wenzako mishkaki..etc...hasira utakazo toka nazo hapo basi lazima ukajitahidi aidha uwe msomi au ushike pesa ...kama umeshazeeka ...utahakikisha watoto wako wanakuwa wasomi....wazee wa kichagga wenye maisha duni...kazi kubwa wanayofanya ni kuwapigia watoto wao simu na kuwakumbusha wajitahidi...."..mwanangu jitahidi ili na mimi niheshimike.....",huo ndio wimbo....na mtu mwenye maisha duni akizipata la kwanza huwa kupeleka heshima kwenye familia yake ..vinginevyo pesa yake itakuwa haina maana..na hata akimpa mtu kinywaji ...watu watamngonga .."..unamnunulia nani pombe wewe huna pesa ...baba yako anaangukiwa na nyumba kwenu"".........
Maisha ya familia yanapobadilika basi hata yule baba yake aliyekuwa anatumwa kuni basi ghafla anajeuka kuwa moja ya wazee wa heshima ambayo jambo halifanyiki bila yeye kuulizwa....na hiyo ndio furaha ya wazazi na jamiii....nadhani labda tu watu hawawaelewi...

Kwa wale wanaotaka kuoa wanakaribishwa ....na maendeleo ni lazima watayapata kutokana na msukumo atakaopewa....kwani la sivyo atabebeshwa kuni mpaka achoke dharau na kujikomboa...na binti wa kichagga hawezi kubali mume wake awe kituko kwenye familia....lazima atamtia moyo wapate mafanikio ili heshima iwepo.......

kweli kabisa mkubwa unayoyasema hapa.
 
hahaaaaa sijutii kuoa uchagani ... asante shem kwa info ... lkn na nyie acheni kudharauliana wenyewe kwa wenyewe ... rombo ... kirua ... marangu ... machame ... kibosho ... uru ... kishumundu ... naamini umenipata shemeji!!
 
..ahaaa shem bwana ...eh ..hata mkapa alipigwa biti.."usiposhinda hapa hakieleweki" anyway natania...

well kudharauliana sio eneo na eneo tu ..hata ndani ya familia ..ni utamaduni wa kutiana machungu ...umesaidia sana ushindani wa kimaendeleo......kwenye family level there was this friend of mine ..hakuna na gari ...ndugu zake wanasukuma ...V8 wote..wakawa wanamuita maskini..yaani haruhusiwi kutoa ushauri au hata kuongea lolote serious..kikao cha familia kikiikaa ..hata kama hayupo wanasema qualam imetimia.....this other day akanunua naye hari USED landcruizer 2...badala ya kumsifu..wakawa wanaumuambia gari lake linajaza parking...awe anapaki uwani....Juzi naye kaja na kitu cha uhakika....wakamuambia ..."now we are talking".
 
Sikutaki Uchaggani ndo maana....kama bado unafikiria kabati ya mbeho ndo tunayotaka hufai kabisa.
Hivyo vyote tunavyo....siku hizi ni mwendo wa maRange , Mercedes and the likes...then upandishe bonge la ghorofa pale kijijini na bonge la theater ndani.Hiyo redio ya picha si chini ya nchi 60 usije ukatuletea zile za kubadilisha chennel kwa dial!

Duh,Lizzy huu upebari sasa.....
 
ni rahisi sana,ni vichache tu utaambiwa ulete;
1.kabati ya mbeho
2.pick up ya mala
3.radio ya picha
4.kitanda cha kamba.
hiyo ilinivutia sana hadi nina mpango wa kwenda huko kama sio marangu basi ni kibosho,machame,rombo,hai au kibololoni.razima.

Hivi unaenda kuoa sehemu flan kwa sababu ya unafuu wa mahari au kwa sababu umempata mtu unayeweza kuishi nae maishani..
 
Sikutaki Uchaggani ndo maana....kama bado unafikiria kabati ya mbeho ndo tunayotaka hufai kabisa.
Hivyo vyote tunavyo....siku hizi ni mwendo wa maRange , Mercedes and the likes...then upandishe bonge la ghorofa pale kijijini na bonge la theater ndani.Hiyo redio ya picha si chini ya nchi 60 usije ukatuletea zile za kubadilisha chennel kwa dial!

Lizzy Bawana anapenda starehe...DIGITALI tu kubonyeza umelala au sio hhahahahaha...asije na la kuamkia kwenda kulizima...watu unageuka tu REMOTI chini ya SITA KWA SITA...hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom