Unataka kuoa uchagani?

Mie ngoja niendelee kusearch maana nimekutana na akina dada wa kichaga kama wawili hivi wakanifanya nikose hamu ya kuoa uchagani. Hao kina dada ni wazuri sana lakin kila mmoja nilipoenda nae kwenye game walinifanya nighairi kabisa kuendeleza mahusiano. niliyoyakuta itaendelea kubaki siri yangu
 
Acha uwongo...ulishindwa wewe sasa unageuza kibao!
 
ahsante hata kama wangeweka adhabu ya kupika kisamvu bila kutwanga bado tungeo tungeoa kwel
 
Mambo siku hizi yamebadilika, sio kama miaka uliyoondoka Tz mkuu
 
Bado hawajaoza hao...au wamekubali aliyefulia kama wewe!!Njoo Hai nimuonyeshe ulaya ndogo!!

Kuna watu wanafikiri wachagga ni wabaguzi au wana majivuno..lakini ukweli wachagga..ni watu wenye wivu wa maendeleo na wanaamini kuwa kutiana changamoto au uchungu ndio njia ya kuwafanya walio na maisha duni nao watoke......utaratibu huu umesaidia wengi...mfano...

Wachagga wanapokutana kwenye familia especially december ......kwenye familia unatakiwa kama una pesa basi uwe angalau umesoma....kama huna vyote basi ....wewe kazi yako itakuwa ndio mtu wa kutumwa tumwa Kuni ,kuwachomea wenzako mishkaki..etc...hasira utakazo toka nazo hapo basi lazima ukajitahidi aidha uwe msomi au ushike pesa ...kama umeshazeeka ...utahakikisha watoto wako wanakuwa wasomi....wazee wa kichagga wenye maisha duni...kazi kubwa wanayofanya ni kuwapigia watoto wao simu na kuwakumbusha wajitahidi...."..mwanangu jitahidi ili na mimi niheshimike.....",huo ndio wimbo....na mtu mwenye maisha duni akizipata la kwanza huwa kupeleka heshima kwenye familia yake ..vinginevyo pesa yake itakuwa haina maana..na hata akimpa mtu kinywaji ...watu watamngonga .."..unamnunulia nani pombe wewe huna pesa ...baba yako anaangukiwa na nyumba kwenu"".........
Maisha ya familia yanapobadilika basi hata yule baba yake aliyekuwa anatumwa kuni basi ghafla anajeuka kuwa moja ya wazee wa heshima ambayo jambo halifanyiki bila yeye kuulizwa....na hiyo ndio furaha ya wazazi na jamiii....nadhani labda tu watu hawawaelewi...

Kwa wale wanaotaka kuoa wanakaribishwa ....na maendeleo ni lazima watayapata kutokana na msukumo atakaopewa....kwani la sivyo atabebeshwa kuni mpaka achoke dharau na kujikomboa...na binti wa kichagga hawezi kubali mume wake awe kituko kwenye familia....lazima atamtia moyo wapate mafanikio ili heshima iwepo.......
 
Thanks PM...nimehisi nipo nyumbani ghafla!!Yani hii picha nilopata hapa ndo nnayoijua mimi...bila kujituma huwezi pata heshima!
 
Acha uwongo...ulishindwa wewe sasa unageuza kibao!

Mwambie .....mwambie...dada wa kichagga wanaouwezo wa kujifunza mambo mapya...sio kazi tu ..bali hata kujiremba na mapenzi....all weather....wanajuwa kuzitumia pesa na zaidi kuzitafuta......nakumbuka enzi ya mkapa kuanzia rais ,waziri mkuu,na rais wa zanzibar..[na wengine kama warioba,Bomani"s etc] walikuwa wanakula Christmas Moshi......siku moja Mkapa akawaapa sana pombe wazee migombani....akawambia ,"nyie shemeji zangu bwana ...tunakula wote ,tunakunywa wote ...na bado mnampa kura Ndessa..."...ikawa kama utani wakacheka sana.....ndio maana nawashangaa sana watu ambao wanataka kuwabagua bila kujuwa wachagga wana symperthy..toka kila pande ya nchi ...kutokana na aidha kuoa au kuolewa...sasa ni wazi unapopanga mabaya dhidi yao inawezekana unayepanga naye ni mzaramo [lakini mama yake mchagga]...ambaye bado wajomba zake wamemu inspire kwenye mengi.....kuna mmoja anasema hataki wakaskazini wapewe nchi lakini kijana wake ameoa huko ..bila kujuwa..lets be one ..one big and strong country!!
 
Hii ni kuwadhalilisha dada zetu kama unafiki ni materialist ujue unafanya kazi kwa data za kale. siku hizi akina Lizzy wananunua wenyewe na zile pickup siku hizi hazina kazi kwani watu wengi wameacha kufuga mifugo kutokana na ukosefu wa majani baada ya mazingira kuharibiwa.

Sasa hivi unatakiwa uwe na ATM kadi yenye hela, kiwanja mjini, degree angalau mbili na kazi aidha ya udaktari, mwanasheria au pilot.

penzi pesa.naomba laki2 nikasuke nywele.
 
Thanks PM...nimehisi nipo nyumbani ghafla!!Yani hii picha nilopata hapa ndo nnayoijua mimi...bila kujituma huwezi pata heshima!

True unajuwa ukisema hapa watu watafikiri nini sijui....lakini level ya maendeleo imefika mahali mtu akitoka mjini ...akifika mlimani basi kuna usemi wa kuomba pombe...."Mwaga heshima hapa mzee"...wakati tunakuwa zamani ungeweza ukawapa mbegge wakaridhika...lakini siku hizi hawamtegemei mtu aliyetoka mjini kuangaika awape mbegge ...ukiambiwa lete heshima you are suppose to buy at least a crate of bear....and there are some of wazee especially retired businessmen or public servants ambao hawategemei uwape bia ...wao unawanunulia Brandy,whisky or gin..i mean those brands ...unawaalika nyumbani ..unakula nao "chakula"...and there is a tradition that at the end of the kinywaji...you are suppose to offer them a bottle full of there favourite each of them as sorveneurs...ili wakumbuke kuwa walikuwa kwako.....la sinyo hawatakuwa na haja ya kukumbuka....kina mama wa class hiyo unawapa zile 25 years wine....or so....sio utani...kama ukiandaa party ya kula na kunywa ukaishiwa vinywaji kati kati utavuna aibu ya mwaka...yaani hata yule asiyekuwa na kitu atakuwa na maana kuliko wewe........if you cannot do any of these basi ni bora ukifika tu nyumbani ujisalimishe ....wajuwe moja na wewe ubakie kungoje wenye nazo wakupe...na kukuta uchungu ....Sasa imagine kama umeoa mchaga alafu ukatiwa bakora za aina hiyo....utajitahidi tu hadi ufikie viwango....
 
Mie ngoja niendelee kusearch maana nimekutana na akina dada wa kichaga kama wawili hivi wakanifanya nikose hamu ya kuoa uchagani. Hao kina dada ni wazuri sana lakin kila mmoja nilipoenda nae kwenye game walinifanya nighairi kabisa kuendeleza mahusiano. niliyoyakuta itaendelea kubaki siri yangu

nasikia ni wavivu wa majambazo lakini nafikiri siyo wote,mbona wengine nawaona wajanja.ngoja nmsubili Lizzy atanipa siri.
 
Wanatuchukia huku wanatupenda..
Wanatukataa huku wanatukubali...
Wanatusema huku wanatutamani....

mimi nawapenda sana.najitahidi kwenda taratibu ili nikioa nisikosee.lazma nioe uchagani.lizzy endelea kufanya hiyo kazi ya kunitafutia kimwana huko ucg.
 
philemon i'm so impressed in that explaination!...i start to make fellow up!
 
Mm mchaga(mmachame) ila mchaga mwenzangu(mmarangu) alitenda haya mambo huwa natazamaga tu
 
Kuna watu wanafikiri wachagga ni wabaguzi au wana majivuno..lakini ukweli wachagga..ni watu wenye wivu wa maendeleo na wanaamini kuwa kutiana changamoto au uchungu ndio njia ya kuwafanya walio na maisha duni nao watoke......utaratibu huu umesaidia wengi...mfano...

Wachagga wanapokutana kwenye familia especially december ......kwenye familia unatakiwa kama una pesa basi uwe angalau umesoma....kama huna vyote basi ....wewe kazi yako itakuwa ndio mtu wa kutumwa tumwa Kuni ,kuwachomea wenzako mishkaki..etc...hasira utakazo toka nazo hapo basi lazima ukajitahidi aidha uwe msomi au ushike pesa ...kama umeshazeeka ...utahakikisha watoto wako wanakuwa wasomi....wazee wa kichagga wenye maisha duni...kazi kubwa wanayofanya ni kuwapigia watoto wao simu na kuwakumbusha wajitahidi...."..mwanangu jitahidi ili na mimi niheshimike.....",huo ndio wimbo....na mtu mwenye maisha duni akizipata la kwanza huwa kupeleka heshima kwenye familia yake ..vinginevyo pesa yake itakuwa haina maana..na hata akimpa mtu kinywaji ...watu watamngonga .."..unamnunulia nani pombe wewe huna pesa ...baba yako anaangukiwa na nyumba kwenu"".........
Maisha ya familia yanapobadilika basi hata yule baba yake aliyekuwa anatumwa kuni basi ghafla anajeuka kuwa moja ya wazee wa heshima ambayo jambo halifanyiki bila yeye kuulizwa....na hiyo ndio furaha ya wazazi na jamiii....nadhani labda tu watu hawawaelewi...

Kwa wale wanaotaka kuoa wanakaribishwa ....na maendeleo ni lazima watayapata kutokana na msukumo atakaopewa....kwani la sivyo atabebeshwa kuni mpaka achoke dharau na kujikomboa...na binti wa kichagga hawezi kubali mume wake awe kituko kwenye familia....lazima atamtia moyo wapate mafanikio ili heshima iwepo.......

Thanks PM...nimehisi nipo nyumbani ghafla!!Yani hii picha nilopata hapa ndo nnayoijua mimi...bila kujituma huwezi pata heshima!

Mwambie .....mwambie...dada wa kichagga wanaouwezo wa kujifunza mambo mapya...sio kazi tu ..bali hata kujiremba na mapenzi....all weather....wanajuwa kuzitumia pesa na zaidi kuzitafuta......nakumbuka enzi ya mkapa kuanzia rais ,waziri mkuu,na rais wa zanzibar..[na wengine kama warioba,Bomani"s etc] walikuwa wanakula Christmas Moshi......siku moja Mkapa akawaapa sana pombe wazee migombani....akawambia ,"nyie shemeji zangu bwana ...tunakula wote ,tunakunywa wote ...na bado mnampa kura Ndessa..."...ikawa kama utani wakacheka sana.....ndio maana nawashangaa sana watu ambao wanataka kuwabagua bila kujuwa wachagga wana symperthy..toka kila pande ya nchi ...kutokana na aidha kuoa au kuolewa...sasa ni wazi unapopanga mabaya dhidi yao inawezekana unayepanga naye ni mzaramo [lakini mama yake mchagga]...ambaye bado wajomba zake wamemu inspire kwenye mengi.....kuna mmoja anasema hataki wakaskazini wapewe nchi lakini kijana wake ameoa huko ..bila kujuwa..lets be one ..one big and strong country!!

True unajuwa ukisema hapa watu watafikiri nini sijui....lakini level ya maendeleo imefika mahali mtu akitoka mjini ...akifika mlimani basi kuna usemi wa kuomba pombe...."Mwaga heshima hapa mzee"...wakati tunakuwa zamani ungeweza ukawapa mbegge wakaridhika...lakini siku hizi hawamtegemei mtu aliyetoka mjini kuangaika awape mbegge ...ukiambiwa lete heshima you are suppose to buy at least a crate of bear....and there are some of wazee especially retired businessmen or public servants ambao hawategemei uwape bia ...wao unawanunulia Brandy,whisky or gin..i mean those brands ...unawaalika nyumbani ..unakula nao "chakula"...and there is a tradition that at the end of the kinywaji...you are suppose to offer them a bottle full of there favourite each of them as sorveneurs...ili wakumbuke kuwa walikuwa kwako.....la sinyo hawatakuwa na haja ya kukumbuka....kina mama wa class hiyo unawapa zile 25 years wine....or so....sio utani...kama ukiandaa party ya kula na kunywa ukaishiwa vinywaji kati kati utavuna aibu ya mwaka...yaani hata yule asiyekuwa na kitu atakuwa na maana kuliko wewe........if you cannot do any of these basi ni bora ukifika tu nyumbani ujisalimishe ....wajuwe moja na wewe ubakie kungoje wenye nazo wakupe...na kukuta uchungu ....Sasa imagine kama umeoa mchaga alafu ukatiwa bakora za aina hiyo....utajitahidi tu hadi ufikie viwango....

Na haya ndio maneno ya watu wa Moshi:

Tuwashukuru Mangi Sina, Meli, Horombo et el..........

Namshukuru Mungu Kuzaliwa chini ya kivuli cha Mlima Kilimanjaro. Wenye Wivu wajinyonge!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom