Unataka kuoa uchagani?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
ni rahisi sana,ni vichache tu utaambiwa ulete;
1.kabati ya mbeho
2.pick up ya mala
3.radio ya picha
4.kitanda cha kamba.
hiyo ilinivutia sana hadi nina mpango wa kwenda huko kama sio marangu basi ni kibosho,machame,rombo,hai au kibololoni.lazima.
 
ni rahisi sana,ni vichache tu utaambiwa ulete;
1.kabati ya mbeho
2.pick up ya mala
3.radio ya picha
4.kitanda cha kamba.
hiyo ilinivutia sana hadi nina mpango wa kwenda huko kama sio marangu basi ni kibosho,machame,rombo,hai au kibololoni.razima.
Vipi KISHUMUNDU nipe data zake!
 
ni rahisi sana,ni vichache tu utaambiwa ulete;
1.kabati ya mbeho
2.pick up ya mala
3.radio ya picha
4.kitanda cha kamba.
hiyo ilinivutia sana hadi nina mpango wa kwenda huko kama sio marangu basi ni kibosho,machame,rombo,hai au kibololoni.razima.

Umefulia kama nguo nyeusi iliyomwagiwa jiki!!!
 
lizzy wewe mchokozi.kwanini unakuwa mchokozi?hata usemeje lazima nikaoe uchagani siku ikifika.mia.

Sikutaki Uchaggani ndo maana....kama bado unafikiria kabati ya mbeho ndo tunayotaka hufai kabisa.
Hivyo vyote tunavyo....siku hizi ni mwendo wa maRange , Mercedes and the likes...then upandishe bonge la ghorofa pale kijijini na bonge la theater ndani.Hiyo redio ya picha si chini ya nchi 60 usije ukatuletea zile za kubadilisha chennel kwa dial!
 
x-mas iliyoisha kuna dogo alinipeleka pale mamsela kwao sijaona ghorofa wala nini.nliona pick up za mala zikisomba ndizi.
 
ni rahisi sana,ni vichache tu utaambiwa ulete;
1.kabati ya mbeho
2.pick up ya mala
3.radio ya picha
4.kitanda cha kamba.
hiyo ilinivutia sana hadi nina mpango wa kwenda huko kama sio marangu basi ni kibosho,machame,rombo,hai au kibololoni.razima.

Ngoja wenyewe waje...
 
Hii ni kuwadhalilisha dada zetu kama unafiki ni materialist ujue unafanya kazi kwa data za kale. siku hizi akina Lizzy wananunua wenyewe na zile pickup siku hizi hazina kazi kwani watu wengi wameacha kufuga mifugo kutokana na ukosefu wa majani baada ya mazingira kuharibiwa.

Sasa hivi unatakiwa uwe na ATM kadi yenye hela, kiwanja mjini, degree angalau mbili na kazi aidha ya udaktari, mwanasheria au pilot.
 
Aika meku....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom